Nchi hii inapoteza uelekeo, wasomi mko wapi?

PUMBA !!tangia enzi hizo nasikia tu nchi hivi mara nchi vile...nyau nyie!TANZANIA ni njema!
 
What's your point? Tumepata uhuru 9/12/61. Miaka ya sitini na sabini mwanzoni mambo mengi tunayoyaona sasa hayakuwepo. Mfano mdogo tu, wengine tumekua tukiona nyumba zinabadilika. Hivi sasa bila nondo nyumbani na maofisini umekwisha. Wewe bongo flava huyajui hayo. Siku hizi uadilifu umegeuzwa kabisa. Huelewi wewe muulize vizuri Mayange atakueleza vizuri. Usidhani wote wanaoandika hapa ni bongo flava.
Kingine kinachonikera ni fake categorization of everyone that comments. Ukikosoa CCM people will conclude wewe ni Chadema. Straight jackets and thinking in boxes only!

Maneno yako tu yanaonesha wewe ni bongo flavor. Utaongeleaje miaka ya 60, miaka ambayo ndo kwanza tulikuwa tumetoka kwenye mikono ya wakoloni? jipambanue tu kuwa wewe ni bongoflaver kuliko kuzunguka mbuyu.
 
What's your point? Tumepata uhuru 9/12/61. Miaka ya sitini na sabini mwanzoni mambo mengi tunayoyaona sasa hayakuwepo. Mfano mdogo tu, wengine tumekua tukiona nyumba zinabadilika. Hivi sasa bila nondo nyumbani na maofisini umekwisha. Wewe bongo flava huyajui hayo. Siku hizi uadilifu umegeuzwa kabisa. Huelewi wewe muulize vizuri Mayange atakueleza vizuri. Usidhani wote wanaoandika hapa ni bongo flava.
Kingine kinachonikera ni fake categorization of everyone that comments. Ukikosoa CCM people will conclude wewe ni Chadema. Straight jackets and thinking in boxes only!

nikweli kabisa hajataka kuelewa, kwenye swala uadilifu kwa sasa imekuwa tofauti na kipindi hicho. Mfano mzuri swala la ufisadi, kuuana sisi kwa sisi, mabomu kama arusha, havikuwepo.
 
Usiwategemee wasomi kuisemea nchi, nchi yoyote hubadilishwa na watu hohehahe, wasomi hao unaowataja ndiyo wengi wao wanaotufisadi, wanaotunga sera mbovu kama za elimu na kilimo, ndio hao ambao hata siku moja hawawezi kuikosoa serikali.

Ndugu wanajamvi,
Ni ukweli usiopingika nchi hii inapoteza uelekeo tofauti na miaka ya 60. Miaka ya 60 hatukuwa na wasomi wengi sana kama maprofesa, madoctor, masters, na bachelors ukilinganisha na ilivyo sasa, chakushangaza nchi ndio inazidi kutumbukia kwenye kila aina ya uovu, na kwa bahati mbaya hakuna hata anayefanya utafiti na kujua tatito ninini.

Miaka ya 60 ilikuwa nafuu kulikuwa na uadilifu tofauti na ilivyo sasa, hivi sasa watoto wanazaliwa wanaanza elimu ya msingi mpaka kufikia vyuo vikuu wakiona wizi, chuki, uongo, fitna.... nikitu cha kawaida tofauti na miaka ya 60. Ukosefu wa uadilifu umefanya ongezeko la wahuni mtaani, mpaka kufikia hatua mtu anashindwa kutofautisha msomi na asiye msomi.

kwa bahati mbaya wahuni hao wanaanza kuingilia polepole sector nyeti ya siasa hapa nchini.

Kila anayelala na kuamka anakwambia namimi nataka kugombea ubunge, matokeo yake tunakuja kupata wahuni wa kisiasa kazi kurushiana matusi majukwani mfano halisi ni mh. Lusinde alipokuwa kwenye kampeni huko Arusha. Pia matokeo yake utakuja kuona wahuni wa kisiasa walivyotaka kuivuruga chadema na kuitana wasaliti huku wakipandikiza chuki kwa wanchi huku sisi tunabaki tunashabikia tukiwapoteza watu muhimu katika ukombozi kwa walio masikini.

Hivi sasa msema kweli ndiye muongo na msema uongo ndiye mkweli.Niseme kwamba chadema ni chama makini sana ila kikihendekeza wahuni wanashinda humu Jf wakipandikiza chuki ndani ya jamii kitapoteza uelekeo.

Umuhimu wa kuwasomesha wanafunzi huku hatuoni faida yao uko wapi? Wengi wanaishia kuwa wanywa pombe, na watu wa vijiweni. Kila aina ya raslimali tunazo wameshindwa hata kutupatia elimu zao tukazalishe, wamesubili ajira wakale rushwa au nao kutamani ubunge wakawe wezi na kupata kiinua mgongo.
 
PUMBA !!tangia enzi hizo nasikia tu nchi hivi mara nchi vile...nyau nyie!TANZANIA ni njema!

Sasa kama unasikia na husemi kama hayo unayosikia ni sawa au si sawa wewe na na nyau anayekaa karibu na redio mna tofauti gani????!!!!
 
Usiwategemee wasomi kuisemea nchi, nchi yoyote hubadilishwa na watu hohehahe, wasomi hao unaowataja ndiyo wengi wao wanaotufisadi, wanaotunga sera mbovu kama za elimu na kilimo, ndio hao ambao hata siku moja hawawezi kuikosoa serikali.

mkuu unamaana tusichague viongozi kwa kigezo cha elimu zao?
 
Mie nadhani nchi hii ili tupige hatua, kila mwananchi ana umuhimu wake, wasomi na hata wasiosoma wote washirikiane. Kwa mfano nchi ikiwa na wasomi wachache na wasiosoma wengi zaidi, wasomi watakua na wakati mgumu kuweza kuikwamua nchi toka katika majanga pasipo ushirikiano wa wasiosoma. Kinacho matter ni umoja na ushirikiano.... ivi ndivyo ninavyofikiria....
 
kaka uko sawa! Hata mimi niliwahi kuandika uzi unaosema wasomi wa nchi hii wanafaida gani? Ulitolewa haraka na sijui ulitupwa wapi? Wasomi wanawadharau wasio soma bila kujua asie soma yaani mwenye elimu ya form four anaweza kuwa kiongozi mzuri kuliko hata prof. Tufike mahala tuwape nafasi hata wenye elimu ya kati tuwaone, mbowe anaongoza chama kubwa vizuri tu licha ya kwamba hana phd.
 
apa hakuna usomi ni fununu tu, maana we mwenyewe iyo elimu uliyo nayo haikusaidii
 
acha kulialia unafikiri kila msomi lazima awe mwanasiasa?!, usomi ni taaluma ww
 
Mie nadhani nchi hii ili tupige hatua, kila mwananchi ana umuhimu wake, wasomi na hata wasiosoma wote washirikiane. Kwa mfano nchi ikiwa na wasomi wachache na wasiosoma wengi zaidi, wasomi watakua na wakati mgumu kuweza kuikwamua nchi toka katika majanga pasipo ushirikiano wa wasiosoma. Kinacho matter ni umoja na ushirikiano.... ivi ndivyo ninavyofikiria....

mawazo yako ni mazuri sana,taifa limepoteza uelekeo wa kitaifa na utaifa.mi nahisi nafasi tuliyo nayo ni ya kurudisha imani kwa matabaka yote,elimu ya uzalendo ndio muarobaini wa matatizo yote!elimu ya uzarendo itolewe kuanzia ngazi ya familia,mashuleni,vyuoni na maofisini" uwajibakaji uwe swala la lazima na sio hiari,pia kua kiongozi iwe ni swala la kujitolea na sio ajira kama wachumia tumbo wengi wanavyofanya,tuwapendekeze viongozi kutokana na uwezo wao binafsi wa kuongoza na elimu iwe ziada katika kutimiza majukumu yao!"
 
Hata demokrasia na misingi ya utawala bora inatupoteza, sisi bado taifa changa tunahitaji maamuzi magumu ili mambo yaende. Tuwaulize marafiki zetu wachina wao wanafanyaje kukuza uchumi? Mafisadi wanafanywaje china? Wauza madawa ya kulevya je? Uchumi wao ukoje kwa sasa? Mwaka 1964 ulikuwaje na wetu ulikuwaje? Jibu utapata.
 
mawazo yako ni mazuri sana,taifa limepoteza uelekeo wa kitaifa na utaifa.mi nahisi nafasi tuliyo nayo ni ya kurudisha imani kwa matabaka yote,elimu ya uzalendo ndio muarobaini wa matatizo yote!elimu ya uzarendo itolewe kuanzia ngazi ya familia,mashuleni,vyuoni na maofisini" uwajibakaji uwe swala la lazima na sio hiari,pia kua kiongozi iwe ni swala la kujitolea na sio ajira kama wachumia tumbo wengi wanavyofanya,tuwapendekeze viongozi kutokana na uwezo wao binafsi wa kuongoza na elimu iwe ziada katika kutimiza majukumu yao!"

mimi nimekubaliana na wewe kwa asilimia mia moja.
 
safi sana mtoa mada utanzania umeanza kutuingia naomba tuuendeleze kokote tulipo.TANZANIA kwanza CHADEMA,CCM baadaye.
 
Back
Top Bottom