SON2016
Member
- Jan 3, 2016
- 64
- 37
Ina wasomi tena wengi sana, tatizo serikali imewatenga na kuwazarau ili wasifanikishe ndoto zao, bali serikali yenyewe ifanikishe malengo yake, nayotehaya yanatokana na kuwanyima ajira ata fedha za mtaji ili wajiendeleze na shuhulimbalimbali au angalau inge kuwa inajuwa wasomi wakisha maliza chuo wanaenda wapi?
Mabadiliko Mengi Duniani Yanaletwa Na Nguvu Ya Umma
Wanaharakati Lakini Mabadiliko Matakatifu Bila Rabsha Yanaletwa Na Wasomi Hivi Kwanini Hawa Wa Kwetu Wamepooza Hivi?
Hivi Nini Kimempata Shivji Hata Kubadili Msimamo Wa Kutetea Taifa Wanafunzi Wa Vyuo Vikuu Wakiandamana Ni Kwaajili Ya Mikopo Hawajawahi Kutoka Kutetea Taifa
Fedha Yetu Imekufa,wabunge Wanatumia Kodi Zetu Kujadili Bajeti Hewa. Hivi Nani Wakuwatetea Hawa Wananchi Wa Tandahimba Na Namtumbo Wasomi Wetu Semeni Serikali Hii IMECHOKAA