sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Biashara nilizonazo nilizianza huku nipo kazini, hadi hapa nilipo biashara zinanilipa lakini haikuwa rahisi, uzoefu nimeupata kwa maumivu kadhaa ikiwemo kuambulia maumivu ya biashara kufilisika, kupigwa na vijana wa dukani, kupigwa faini na tra kwa kuchukulia poa mambo ya kodi, n.k. kupitia haya nimepata kujua pesa inahitaji discipline, ni muhimu kuhesabu na kukagua mzigo, kodi za tra ni muhimu sana kuzingatia, Kufungua biashara mpya wekeza muda ujifunze na kupata connections zake kwanza kabla ya kuweka mtaji, n.k. naacha kazi kwenda kuendeleza biashara, siachi kazi kwenda kuanzisha biashara na sishauri kabisa mtu aache kazi kwenda kuanzisha biashara ama kuendeleza biashara ambayo ndio kwanza anaianza.
And the time is now.
Sisi watanzania kundi la wasomi nimekuja kushangaa sana inakuwaje tumejaaliwa rasilimali kibao sana na kwa hali ya kawaida ilitakiwa sisi tuwe mstari wa mbele kuzi exploit lakini badala yake tunawaachia wageni na watanzania wenzetu wenye elimu za chini wanafaidika nazo mno wakati huo sisi wasomi hizi dgree ni kama zimetupiga limbwata kuwa nandoto za kuzeekea kwenye ajira, ni kweli kuanza maisha kwenye ajira sio tatizo ila shida ni kulala usingizi wa pono kuridhika mazima na matone ya mshahara mpaka uzeeni.
Itoshe kusema ajira imeweza kunipa pesa za kujitegemea, gari, mikopo ya fasta, n.k ila sasa ni muda wangu ku venture other oppurtunities.
Nimeamua niingie kwenye biashara za rasili mali zetu tulizojaalowa kwa upendeleo mkubwa sana hapa Tanzania, mwaka jana pekee niliingiza zaidi ya mara 4 ya mshahara wangu wa mwaka mzima, mwaka huu upo ukingoni kuisha nimepata ongezeko la asilimia 60% ya nilichoingiza mwaka jana, kwenye biashara mpya niliyoanzisha mwaka huu imeanza kuchanganya mwezi wa 10 napata faida almost nusu ya mshahara wangu kila mwezi na hapo bado haija mature vizuri nategemea iingize mara 2 ya mshahara kufikia mwezi wa 8 mwakani.
and i am barely 35 and very energetic, why nimalizie prime yangu kwenye kusubiri mshahara na posho ? Hell No !! hapana kwakweli !!, i am set to go, My plan ni kuacha ajira hata sasa ila kwa sababu kadhaa ambazo ni external factors ntaacha mwakani .
Nashukuru kiingereza cha kumingle kwenye soko kinapanda, nimepata exposure kwenda nje ya nchi kitu kilichofanya nijue kwamba watanzania tunachezea fursa za rasili mali zetu, nina idle connections sababu ya uoga wangu but ni muda wa kuzifanya ziwe active.
Pia kwa umri milionao life expectancy yangu nimebakiza takribani miaka 25 tu hapa duniani, pengine labda chini ya hapo, kwa muda huu mchache uliobaki ni muda wa kurudisha fadhila kwamba nimezaliwa nchi ambayo ina vitu adimu sana vikiwemo amani na rasilimali kibao, ni vitu ambavyo tunavichukulia poa ila tembeeni muone thamani ya hivi vitu aisee, I know i can na nitaweza kufaidi keki ya rasilimali za nchi yetu nao watoto wakikua wakute mambo nishayaseti wafaidi matunda ya rasilimali ya nchi yao, I know i can and i must.