Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,126
- 6,764
Mkuu Mitandao ya Jamii inawakilisha SAUTI za Wanajamii, Wanasiasa na wafaidika wa keki ya Taifa siku zote hali ngumu ya maisha kwao ni hadithi, Mfumuko wa bei hauwezi kumkuta JK ,Salva and the like.Hali ya maisha ni ngumu sana jamani.Huko vijijini moto unawaka acheni tu.Ni kweli. Nchi ikianza kuendeshwa kwa kupitia mitandao ya kijamii ni hatari sana.
So Salva was right on point.