Ni kweli. Nchi ikianza kuendeshwa kwa kupitia mitandao ya kijamii ni hatari sana.
So Salva was right on point.
Crystal clear! nchi haiwezi kamwe kuongozwa na mitandao na magazeti.
Viongozi wa nchi tunawachagua sisi ili watutumikie, waendeleze nchi na wananchi wake ambao ndo sisi tuliowachagua. Sehemu za sisi wananchi kusema yanayotukera kuhusu viongozi na uongozi wao ni kwenye media ambazo ndo kama hizo (magazeti, mitandao ya jamii, redio, television n.k.), sasa nyie mnaesema nchi haiongozwi kwa mitandao n.k. mna maana gani? Viongozi wowote makini inabidi wafuatilie media hizo nilizotaja kujua wananchi wana yapi ya kusema kuhusu uongozi wao ili kama wako wrong wajirekebishe lakini kukimbia media ni kujidanganya. Acheni kuwapamba na kuwapa kichwa mkidhani mnawatetea kumbe mnawapalia makaa ya chuki kwa wananchi.
msemaji wa ikulu,ktk kipindi cha jahazi,amesema nchi iko shwari kabisa,na imani ya wananchi kwa rais wao inazidi kukua kila cku!!tatizo la mfumuko wa bei sio tatizo la serikali ni tatizo la dunia nzima!na wale wanaopiga kelele kila siku juu ya mabdadiliko ya baraza la mawaziri sio kazi yao,na pindi rais atakapoona inafaa kufanya hivyo atafanya hivyo.Na magazeti yaache kutabili mambo kwani hata kwenye makubaliano yaliofikiwa kwenye mgogoro wa madaktari,ni baina ya serikali na ma dr,wala sio na magazeti.Na maisha ya mtanzania yanaboreka kila uchao!!kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa jamani.

nilichigundua ni kuwa Kibonde alimuuliza Rweyemamu maswali mazuri na yenye mustabali wa taifa ila huyu rweye akatoa majibu marahisi sana. hili ni janga la kitaifa kama hamjui
msemaji wa ikulu,ktk kipindi cha jahazi,amesema nchi iko shwari kabisa,na imani ya wananchi kwa rais wao inazidi kukua kila cku!!tatizo la mfumuko wa bei sio tatizo la serikali ni tatizo la dunia nzima!na wale wanaopiga kelele kila siku juu ya mabdadiliko ya baraza la mawaziri sio kazi yao,na pindi rais atakapoona inafaa kufanya hivyo atafanya hivyo.Na magazeti yaache kutabili mambo kwani hata kwenye makubaliano yaliofikiwa kwenye mgogoro wa madaktari,ni baina ya serikali na ma dr,wala sio na magazeti.Na maisha ya mtanzania yanaboreka kila uchao!!kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa jamani.
malizia kabisa kuwa "nchi ni salama ikiongozwa na wafanyabiashara wakubwa kama RA aliyemuingiza salva Ikulu"Ni kweli. Nchi ikianza kuendeshwa kwa kupitia mitandao ya kijamii ni hatari sana.
So Salva was right on point.
Ndugu yangu yeye kwake ni shwari kwasababu ni house boy wa ikulu. angekuwa anashinda na ss kwenye vibanda vya mihogo angelijua hilo. hebu tujadili tutawezaje kujikwamua na ugumu wa maisha tuachane na huyu house boy wa ikulu.Nchi iko shwari wakati maisha yanazidi kuw amagumu
Mfumoko wa bei ni tatizo la dunia kwani jamaa amekuwa gavana wa benki kuu anatupa taarifa hizo
Imani kwa rais amefanya research wapi kutupa data kuwa imani kwa rais wa nchi inazidi kupanda
maisha ya mtanzania yanazidi kuboreka kwa kipi kwa kutojua kesho anakula nini ndo maisha yanaboreka
Ahhh majibu mepesi kwa maswali magumu
Salva anasifia suti ya mfalme ilivyo nzuri wakati kila mtu anaona mfalme yuko uchi.
Hizi njaa tabu sana.