NCCR yamtaka Mh Ezekiel Wenje kuomba radhi

Mbatia ni CCM "C" wala si "B", CCM "B" inawenyewe,mhe Kafulila alishasema ndio kauli iliyo mcost lakin kama kawaida Mungu hamfichi mnafiki, mara tukashuhudia Mbatia anakuwa mbunge wa kuteuliwa na JK.Mkosamali anajalibu kufanya hiv kama njia ya kujifuta aibu asijue kuwa ndio anajiumbua kwakua yeye ndio alimsaliti Kafulila.
 
Mkuu NCCR kama chama hakina shida lakini tatizo tu ni kibaraka Mbatia.

Mimi sioni tatizo la Mbatia kuteuliwa kuwa Mbunge na Rais aliyeingia madarakani kwa mgongo wa CCM. Ni jambo la kawaida na la kikatiba alilofanya Rais. Uteuzi huo haumfanyi Mbatia kuwa kibaraka wa CCM kwa kuhemekea uteuzi huu. Ndio maana kaweka wazi kabisa kwamba angali mpinzani na Bungeni ni wembe ule ule wa kujiunga na ambi ya upinzani.
 
I dont need to mark your words, weka ushahidi jamvini

Kwanza ni miongoni mwa watu walioshiriki vurugu za kuua NCCR enzi ya Mrema.Pili alimuelekeza mgombea urais wa NCCR Hashim Rungwe asiiseme vibaya CCM.Tatu alikuwa akiishambulia CDM muda wote wakati wa uchaguzi mwaka juzi.Nne aliitukana CDM kwamba ni chama cha kumwaga damu kutokana na maandamano yake.Unataka ushahidi gani tena zaidi ya huu?
 
Mimi sioni tatizo la Mbatia kuteuliwa kuwa Mbunge na Rais aliyeingia madarakani kwa mgongo wa CCM. Ni jambo la kawaida na la kikatiba alilofanya Rais. Uteuzi huo haumfanyi Mbatia kuwa kibaraka wa CCM kwa kuhemekea uteuzi huu. Ndio maana kaweka wazi kabisa kwamba angali mpinzani na Bungeni ni wembe ule ule wa kujiunga na ambi ya upinzani.
Sifa za Mbatia:
Kwanza ni miongoni mwa watu walioshiriki vurugu za kuua NCCR enzi ya Mrema.Pili alimuelekeza mgombea urais wa NCCR Hashim Rungwe asiiseme vibaya CCM.Tatu alikuwa akiishambulia CDM muda wote wakati wa uchaguzi mwaka juzi.Nne aliitukana CDM kwamba ni chama cha kumwaga damu kutokana na maandamano yake.Unataka ushahidi gani tena zaidi ya huu?
 
Mkuu kusema ukweli ni matusi? Mbatia ni CCM B Mark my words

mkubwa!....Mimi napingana na wewe Mbatia ni CCM "C" na sio CCM "B" na ndio maana wanamshambulia Wenje,kwani Wenje kakosea kasema "B" badala ya "C" kwani "B" inawenyewe
 
Thibitisha madai yako
Kwanza ni miongoni mwa watu walioshiriki vurugu za kuua NCCR enzi ya Mrema.Pili alimuelekeza mgombea urais wa NCCR Hashim Rungwe asiiseme vibaya CCM.Tatu alikuwa akiishambulia CDM muda wote wakati wa uchaguzi mwaka juzi.Nne aliitukana CDM kwamba ni chama cha kumwaga damu kutokana na maandamano yake.Unataka ushahidi gani tena zaidi ya huu?
 
Kwanza ni miongoni mwa watu walioshiriki vurugu za kuua NCCR enzi ya Mrema.Pili alimuelekeza mgombea urais wa NCCR Hashim Rungwe asiiseme vibaya CCM.Tatu alikuwa akiishambulia CDM muda wote wakati wa uchaguzi mwaka juzi.Nne aliitukana CDM kwamba ni chama cha kumwaga damu kutokana na maandamano yake.Unataka ushahidi gani tena zaidi ya huu?

Soma kitabu cha Ndimara Tegambwage (Mtafaruku na Hatima ya Mageuzi) kuhusu nini kilitokea enzi za Mrema, husan udikteta uliojitokeza na wahuni waliotafuna fedha. Alichoambiwa Rungwe ni kwamba badala ya kurusha matusi atangaze sera za chama. Wakati wa uchaguzi aliyeendesha matusi dhidi ya mwenziwe ni CDM, kwa kukibatiza NCCR jina la kihuni
 
Hiki ni kichekesho. Ni chama cha upinzani gani kina Mwenyekiti wake swahiba wa Mwenyekiti wa chama tawala kiasi cha kuteuliwa Mbunge? Mbatia unatia aibu sana.
 
Sifa za Mbatia:
Kwanza ni miongoni mwa watu walioshiriki vurugu za kuua NCCR enzi ya Mrema.Pili alimuelekeza mgombea urais wa NCCR Hashim Rungwe asiiseme vibaya CCM.Tatu alikuwa akiishambulia CDM muda wote wakati wa uchaguzi mwaka juzi.Nne aliitukana CDM kwamba ni chama cha kumwaga damu kutokana na maandamano yake.Unataka ushahidi gani tena zaidi ya huu?

Matamko ya kipindi cha kampeni hakuna siyejua kila mtu huwa na kila njia ya kujenga ubora wake na kujitahidi kuonyesha mapungufu ya mwingine. Ndio maana baada ya uchaguzi huanza kupatana na kila mmoja anajua kwa nini alikuwa anafanya hivyo. Ukichukulia jambo hilo kwa makini utaumia bure. Unakumbuka Kikwete na Slaa wanapokutana wanapoongea kirafiki bila kununiana. Sisi tusiojua ndio tunaokuwa na ya moyoni kwa kuwa hatuja ujuzi wa sayansi ya siasa.
 
Kwanza ni miongoni mwa watu walioshiriki vurugu za kuua NCCR enzi ya Mrema.Pili alimuelekeza mgombea urais wa NCCR Hashim Rungwe asiiseme vibaya CCM.Tatu alikuwa akiishambulia CDM muda wote wakati wa uchaguzi mwaka juzi.Nne aliitukana CDM kwamba ni chama cha kumwaga damu kutokana na maandamano yake.Unataka ushahidi gani tena zaidi ya huu?
Soma kitabu cha Ndimara Tegambwage (Mtafaruku na Hatima ya Mageuzi) kuhusu nini kilitokea enzi za Mrema, husan udikteta uliojitokeza na wahuni waliotafuna fedha. Alichoambiwa Rungwe ni kwamba badala ya kurusha matusi atangaze sera za chama. Wakati wa uchaguzi aliyeendesha matusi dhidi ya mwenziwe ni CDM, kwa kukibatiza NCCR jina la kihuni
 
Soma kitabu cha Ndimara Tegambwage (Mtafaruku na Hatima ya Mageuzi) kuhusu nini kilitokea enzi za Mrema, husan udikteta uliojitokeza na wahuni waliotafuna fedha. Alichoambiwa Rungwe ni kwamba badala ya kurusha matusi atangaze sera za chama. Wakati wa uchaguzi aliyeendesha matusi dhidi ya mwenziwe ni CDM, kwa kukibatiza NCCR jina la kihuni

Mkuu kwenye kampeni CDM ilikuwa inahangaika na mpinzani wake mkuu CCM.CDM haiwezi kupoteza muda na NCCR.Kinachofanywa tu ni kuwatanabaisha wananchi mamluki wachache waliojificha upinzani ili kufifisha juhudi za mageuzi.
 
Ukiona mwanaume kaomba suruali akapewa gauni akalivaa huyo ni mnafiki,aliomba ubunge kawe,alipigwa chini tena na mwanamke,baada ya kuona sasa hana lolote hata hela ya kula home tabu,aliomba hata rais amkumbuke,ndugu zangu vyama vingine tulivyonavyo ni bora hata choo chako home.Siamini huyu ni mpuuzi james mbatia aliyesimama na kuitukana serikali hii iliyomzawadia ubunge.mnafiki mkubwa sana huyu,bora niwe mkulima wa bangi nikamatwe kuliko kupewa lifti kwenye ndege ambayo najua muda wowote itapata ajali.
 
Mkuu kwenye kampeni CDM ilikuwa inahangaika na mpinzani wake mkuu CCM.CDM haiwezi kupoteza muda na NCCR.Kinachofanywa tu ni kuwatanabaisha wananchi mamluki wachache waliojificha upinzani ili kufifisha juhudi za mageuzi.
ni kweli haikupoteza muda ndio maana ikaja kuomba yaishe
View attachment 55390
 
Hiki ni kichekesho. Ni chama cha upinzani gani kina Mwenyekiti wake swahiba wa Mwenyekiti wa chama tawala kiasi cha kuteuliwa Mbunge? Mbatia unatia aibu sana hata kama ukiendelea na upinzani Bungeni.

NCCR siyo CCM (B) kwa vile CUF tayari wamechukua role hiyo. NCCR ni CCM(C).

CDM endeleeni na juhudi za M4C, Magamba yakivuliwa na Magwanda yakivaliwa. Hakuna kulala, Mpaka Kieleweke, 2015.
 
Back
Top Bottom