Losambo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 2,612
- 864
kashasoma upepo. Jimboni kwake wanamchukia baada ya bifu lake na Kafulila
Wacha aendekeze siasa za majitaka aone nguvu ya umma itavyomchukua kama mkondo wa maji uendavyo kasi.
kashasoma upepo. Jimboni kwake wanamchukia baada ya bifu lake na Kafulila
NCCR Mageuzi kimekitaka CHADEMA kuomba radhi ndani ya wiki moja kufuatia shutuma zilizotolewa na Mbunge wa Nyamagana kuwa NCCR ni CCM B
my take: kuusishwa na ccm ni tusi kubwa sana.
Akiongea kwa jazba kali Mh moses Machali alisema kua kitendo alichokifanya Wenje kumuita mwenyekiti wao James Mbatia kua ni kibaraka kwa kukubali uteuzi wa rais hakiwezi kuvumilika na kumtaka Wenje kuomba radhi na kufuta kauli yake.
sasa wenje atamuomba nani msamaha na wakati chama cha nccr na wanachama wake wameshakufa, ataomba msamaha maiti?
Wapinzani mnatakiwa kuwa kitu kimoja.
Hao ndio CHADEMA, juzi juzi tu walikuja kwetu wakiomba tuyamalize na kesi ya Kawe ifutwe, tukawasikiliza na wakaahidi kuacha tabia zao za matusi na kejeli dhidi yetu. Baada ya kuwafutia kesi kama walivyoomba sasa wameshatuona mabwege.ritz@ umesema ukweli mtupu, nilisoma habari hii nilishangaa kwani hivi majuzi tu wamekuwa na maongezi ya pamoja hadi kufuta kesi ya Mdee, sasa kuja na kauli hiyo si dalili nzuri ya vyama vya upinzani kuwa na nguvu moja.
Hao ndio CHADEMA, juzi juzi tu walikuja kwetu wakiomba tuyamalize na kesi ya Kawe ifutwe, tukawasikiliza na wakaahidi kuacha tabia zao za matusi na kejeli dhidi yetu. Baada ya kuwafutia kesi kama walivyoomba sasa wameshatuona mabwege.