Digaller
JF-Expert Member
- Oct 20, 2009
- 745
- 427
Wakuu.
Nina Girlfriend ambae yupo mbali na mimi kiasi kwamba tunaweza kukaa almost 6 months hatujaonana ila tatizo nililonalo ni kwamba nina wivu kupita kiasi.
Nimegombana nae mara nyingi sana na hata kufikia hatua ya kum-cheat ili kupunguza hasira zangu still bado tatizo langu sikuweza kuliondoa. wivu wangu hasa unakuja ninapompigia simu na endapo simu yake haitapokelewa kwa wakati aukukuta ipo busy ndipo wivu huongezeka mara dufu na always nafikiria ku-cheat ili kupunguza hasira zangu.
Je nifanye nini ili kuondokana na hii tabia ya kuwa na wivu??
:thinking: :thinking: :thinking: :thinking: :thinking: :thinking: :thinking: