<br />FGPSA, huwa inatoa matangazo yake ya wazabuni ambao inawataka washirikishwe kwenye Framework Contract ya Common Use Items and services (CUSS) kwa mwaka. na matangazo haya huwa wazi kwenye magazeti ya serikali kila inapokaribia mwaka wa fedha mpya kuanza. zaidi ya yote Tembelea Ofisi zao, watakupa support ya kutosha.. tena kama ndo unaacha "kikaratasi..!!" utatengenezewa hadi mkeka wa bid-document.. Good luck
na kama umechelewa au hukuona hilo gazeti la matangazo je hakuna njia nyingine ya kujisajili
Kwa mwaka huu matangazo yao yanatarajiwa kuanza kutoka mwezi gani?nenda ofisi zozote za GPSA utapewa maelezo.matangazo yalitoka feb 2012.wahi sasa kabla hujachelewa.pia waweza kutembelea website yao.
Kwa mwaka huu matangazo yao yanatarajiwa kuanza kutoka mwezi gani?
Mkuu nimeku pmFGPSA, huwa inatoa matangazo yake ya wazabuni ambao inawataka washirikishwe kwenye Framework Contract ya Common Use Items and services (CUSS) kwa mwaka. na matangazo haya huwa wazi kwenye magazeti ya serikali kila inapokaribia mwaka wa fedha mpya kuanza. zaidi ya yote Tembelea Ofisi zao, watakupa support ya kutosha.. tena kama ndo unaacha "kikaratasi..!!" utatengenezewa hadi mkeka wa bid-document.. Good luck
kama umechelewa subiri mwakani tena, wakitangaza uombe, na uwe na laki 5, ndio jina lako litatoka kwa dar, kwa mikoani omba tu jina litatoka kwenye list
web yao Government Procurement Services Agency
Laki 5 ,za nini?kama umechelewa subiri mwakani tena, wakitangaza uombe, na uwe na laki 5, ndio jina lako litatoka kwa dar, kwa mikoani omba tu jina litatoka kwenye list
web yao Government Procurement Services Agency