Quartz360
Senior Member
- Mar 27, 2023
- 124
- 302
Habari Wana jukwaa!!
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya njema, na poleni kwa changamoto za hapa na pale katika utafutaji wa riziki, naamini kila kitu kitaa sawa kwani MUNGU yu upande wetu daima.
Naomba niende kwenye maada moja kwa moja.
Je, nawezaje kupunguza UTITIRI WA KODI Katika biashara zangu?. Katika business projects kama nne hivi nimekuwa nikijiuliza namna gani naweza kupunguza ulipaji wa KODI kubwa bila kuathiri misingi ya kisheria.
Najiuliza je nisajiri hizo biashara ziwe chini ya kampuni, kwa mfano XYZ GROUP OF COMPANIES na sio kuzivunja mafungu mafungu japo ziwekuwa diversified kwa maana zinatofautiana katika utoaji wa huduma, ambapo zingine ziko kwenye upande wa value addition kwenye bidhaa zitokanazo na mazao. Zingine kwenye ufugaji, chakula na usafirishaji.
Kwa wenye uelewa juu ya hili, je kuzifanya hizi diversified projects ziwe chini ya kampuni moja itasaidia kupunguza UTITIRI WA KODI ama nitakuwa sijatatua tatizo, au Kama Kuna njia zingine ambazo ni legal za kuweza kutumia.
Karibuni .