Qs Yu
Member
- Dec 2, 2014
- 94
- 36
iyo ndo bei ya cement dar au umeamua kumtisha mwenzio???
Mbona ndio bei sehemu nyingi za Dar?
iyo ndo bei ya cement dar au umeamua kumtisha mwenzio???
Hili suala lako gumu kujibika but ninafanya kazi Ki-Freelance zaidi.
Wewe mwaga kampuni yako nikulete wateja wasiokuwa na milioni 100 :]
Kwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( I assume uko Dar es Salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza):
- Matofali 5,000 @700=TZS3,500,000
- Mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
- Cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
- Mbao zote TZS4,000,000/=
- Bati 60 @ 15,000=900,000/=
- Fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
- Finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
- Finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=
Lakini hapo kwenye tofali kidogo panahitaji marekebisho mie ninaishi kigamboni tofali mpaka site ni 850/= mpaka 950/= chukulia bei ya tofali ni shillingi 1000. Hivyo 5000x1000=5,000,000/= ndio hesabu sahihi na kwa upande wa bati inategemea unapaua kwa style gani huenda zikafika bati mpaka 100x15000= 1500,000. Nafikiri ukiwa na million 30 cash in hand unaweza jenga nyumba ukabakiwa na finishing ndogo, this is from my experience.
ndugu ujenzi sio mchezo na kuchakata kama ulivyofanya vitu ving umeacha
kuna misumar, maji, kokoto, nondo, mbao za linta hata kama una kodisha, kench wire, hiyo nyumba haina choo? xo kuna mambo mengi sana ikiwemo gharama ya usafiri wa vifaa, kifupi unaweza kujenga nyumba ndogo sana labda ya matofal 3000 hiv lakini sio 5000. kingine na eneo pia lipo mazingira gani bonden, kiliman au flat area muhimu sana! ni hayo tu
Mwakasimba ushajenga au una nyumba ngapi? mie ninajua ninachokiongea, ndo mana kwenye estimation lazima uende juu kuweza kukava hiden cost kama usafiri wako mwenyewe ukiwa site kuna emegency mimi nimejenga ninajua ninachoongea
bravoooooooooooooooo
vyumba vinne means one bed room, sebule moja, jiko na stoo moja na choo kimoja. ila vyote vinakuwa ndani
chumba kimoja cha msingi wa kozi tatu ni matofari 300 * 4 = 1200
au kozi tano ni matofari 500 * 4= 2000
maximum tofari 3000/50 = 60 mifuko ya cement. * 14000= 840,000
mafundi matofali + mchanga + machine+ kumwagilia= 900,000
fundi kujenga mpaka linta + kupiga linta na kuinua kozi za juu= 2,000,000
fundi kuezeka 600,000
mbao treated ( inategemea na design) maximum= 1,000,000
bati 28 geji 120 * 160,000= 2,300,000
dirisha moja 240000 * 10 = 2,400,000
milango 7 * 150,000= 1,050,000
kupiga ripu fundi + cement + mchanga = 800,000( ndani) + 800,000 ( nje)
gypsum = 60 * 14,000= 840,000
fundi gypsum + rangi= 600,000
tyles nyumba yote = 1,500,000
fundi tiles= 500,000
wiring vifaa= 1,500,000
fundi wiringi = 600000
pigeni jumla ni ngapi haya ni mahesabu ya juu sana
Mwakasimba ushajenga au una nyumba ngapi? mie ninajua ninachokiongea, ndo mana kwenye estimation lazima uende juu kuweza kukava hiden cost kama usafiri wako mwenyewe ukiwa site kuna emegency mimi nimejenga ninajua ninachoongea
Mkuu ni kweli ila kwa namba ya mifuko 150 akienda kiwandani bei inapunguaMbona ndio bei sehemu nyingi za Dar?
Mkuu ni kweli ila kwa namba ya mifuko 150 akienda kiwandani bei inapungua
Mkuu inategemeana na kampuni kama lake cement mininum ni 100kiwandani wanakubali kuuza cement minimum uwe unachukua mifuko mingapi?
Mbona ndio bei sehemu nyingi za Dar?
Mkuu inategemeana na kampuni kama lake cement mininum ni 100
haujeweka choo hap na kuchimba shimo lakeKwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( I assume uko Dar es Salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza):
- Matofali 5,000 @700=TZS3,500,000
- Mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
- Cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
- Mbao zote TZS4,000,000/=
- Bati 60 @ 15,000=900,000/=
- Fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
- Finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
- Finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=
kwa raman ipi mkuu, naona umekokotoa tu raman ip iyo nyumba, cz naamin ukokotoz wa vifaa it depend na raman ya nyumbaKwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( I assume uko Dar es Salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza):
- Matofali 5,000 @700=TZS3,500,000
- Mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
- Cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
- Mbao zote TZS4,000,000/=
- Bati 60 @ 15,000=900,000/=
- Fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
- Finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
- Finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=
UnawezaJamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo Dar kwa milioni 20? Niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...
Asante