Naweza kufa kwa hii tabia yangu ya kutozungumza, nisaidieni

NyaniNgabu,The Boss na wengineo mnaofikiria natafuta mwanaume siwakatazi kufiiria hvyo
Wengine mlioniambia maneno mabaya cjui nataka nimuache mume wangu hakuna sehemu nimeomba ushauri wa kumuacha Mr au kuolewa na X...
I only shared my life xperience na jinsi nnavyoumia na kujutia maamuzi nliyofanya na narudia tena namuheshimu sana mume wangu.
Humu tunatafuta kurelease stress na chakula ya ubongo.
Wengine nashukuru kwa ushauri wa kujenga na kubomoa
 
Labda nikwambie tu boyfriend kanizd 4yrs cjawahi kumpa hata 100 na haniombagi na hata akija mkoa nliopo ataweka hadi mafuta kwny gari..hana hela khvyo lakn ni mtu anayejito kwa kidogo tangu zamani
Ila ndio najuta nliona akinioa ntachelewa kuuona utajiri
Ungecoment kwa lugha nzuri ungeeleweka Mkuu..asante lakin

MwanaJamii hapo juu (dabo) amesema mkipenda pesa basi vumilieni na mapungufu yaletwayo na hizo pesa!!!
 
Drama queen tanua akili yako usiwe mjinga, sio kwamba nakutukana ila nakuona akili yako haijitambui kuwa ww n nan,umetoka wapi, upo wapi na unaenda wapi. Tambua kuwa maisha ni zaidi ya kuvuana vyupi lakn naona akili yako imejikita zaidi kwenye kusuguliwa tu.

Ujue kuwa mwanaume huwa anakuwa na upendo na hisia kali kwa mwanamke pindi muwapo mbalimbali lakn pindi mtakapooana kuna kuzoeana kimapenzi ile hamu au upendo hupungua kwa kias flan. Hamtakuwa na ashki kama mlizonazo sasa hapo ndio atakapoanza kukuona mzigo na atajiona ameoa mwanamke aliyekongoroka..

Najua hujaijua vzr akili ya wakiume na wanaume. Lakn ngoja nisiongee sana yawezekana Mungu ameiona akili yako ilivyo uji sasa anataka kukupa funzo ambalo litakufanya uwe mwanamke badala ya kuwa msichana.

Unaona kila siku wenzako humu wanaomba ushauri dhidi ya waume zao juu ya michepuko,kukimbia majuku,kutelekezwa,n.k.

Vijana wengi kulingana na ugumu wa maisha huwa hawajitambui wanakimbia majukumu, huyo kinda wako anataka kukupotezea uelekeo. Ww endelea na ujinga huo shaur yako

Ushauri mzuri sana ila punguza kidogo ukali wa maneno.
 
NyaniNgabu,The Boss na wengineo mnaofikiria natafuta mwanaume siwakatazi kufiiria hvyo
Wengine mlioniambia maneno mabaya cjui nataka nimuache mume wangu hakuna sehemu nimeomba ushauri wa kumuacha Mr au kuolewa na X...
I only shared my life xperience na jinsi nnavyoumia na kujutia maamuzi nliyofanya na narudia tena namuheshimu sana mume wangu.
Humu tunatafuta kurelease stress na chakula ya ubongo.
Wengine nashukuru kwa ushauri wa kujenga na kubomoa

Mimi wala sifikirii kuwa unatafuta mwanaume humu.

Na kusema ukweli sifikirii chochote kabisa kuhusu nia au dhamira yako ya kuja kuandika ulichokiandika humu.

Nitaanzia wapi hata kufikiri kwamba umekuja kutafuta mwanaume humu?

Kwanza wala sikujui.

Na hata kama nakujua nje ya hapa, basi sijui kama unatumia hili jina ulilolitumia kuandika hicho ulichokiandika humu.

Bila kwenda mbali zaidi utaona kuwa sina hata msingi wa kuanzia kufikiri umekuja kutafuta mwanaume humu.

I am in no place to sit in judgement on you over anything.

So let not your heart be troubled.
 
Nimekua msomaji tu lakin acha leo nitue huu mzigo..nimeona mwenzangu wishes to turn back the hand of time mi natamani nife
Simply bcoz AM NOT HAPPY ktk ndoa yngu na sababu ni kuolewa na mtu ambae sikumpenda sababu tu yule tuliependana hayuko vizuri financially
Kwanza nikiri tu bfo kuolewa nlikua mtu wa mambo mengi saanaa..I dd it ol travelled sehemu kibao ndio maana pia nkapewa hilo jina dramaqueen
Nimeolewa km miaka 3imepita nna watoto 2..mume wangu ananipenda sana anatujali mm na watoto mnooo hakuna nnachotaka asinipe gari ananibadilishia aftr evry 6mnths ni mtu mzima kidogo kwangu,namuheshimu SANA nadhan hilo ndio linamfanya azidi kunipenda..ule ujinga kabla cjaolewa nliacha hata watu wanaonijua wanaona kabisa nimebadilika
Tatizo jamani Mr hajawahi kwenda zaidi ya dk 5 na hajawahi kurudia round ya pili kwa miaka yote 3..yaani akipanda dk 5 kamwaga ana sukar kwahyo hawez kurudia mzunguko wa pili labda baada ya wik au 3wiks..
Naumia jamani nateseka,najuta..boyfriend tuliyependana sana hadi leo hajaoa,anasema kama hakunioa mm hataoa maishani kwan ananipenda..financially bado hayuko vizur ila ni mtafutaji...tunakaa mikoa tofauti so kukumbushia sio kivile mara nying tunachat tu kwa hisia..boyfriend ananishauri niombe talaka kanisamehe turudiane..mume wangu namuonea huruma kwasababu ni mtaratibu mnooo ananipenda ananijali zaidi ya nguvu za kiume sababu ya sukari ambayo tumeshahangaika sana kutibu.
..najuta wanawake wenzangu I hv ol th money a wanted but AM NOT HAPPY kuweni makini msitake tu kuolewa
Am 29 Mr is 48 nimejitahid kufupisha
Msinitukane jamani
Ukimwacha atakufa jitahidi kukubali matokeo dama queen
 
Hahaha Zimefika Salam.
Na Kwa Soseono Je?
Nimwambiaje......
Haha.. Ambia Soseono kwamba baba mkwe wake (Haemosou) yuko mzima wa afya namuonaga anapiga tizi kule mbagala chini kulee.. Anabuy time arudi vitani... Haha.
 
#Born Be wild niendelee tu kulea @ths age jamani..maisha yangu yot yatakua hv? Sijawah kumsaliti na mwanaume mwingine zaid ya huyo X na huwa naumia sana baada ya hapo
I cnt tek any of ths anymo
Mipini yote kabla hujaolewA haijakutosha, tulia
 
NyaniNgabu,The Boss na wengineo mnaofikiria natafuta mwanaume siwakatazi kufiiria hvyo
Wengine mlioniambia maneno mabaya cjui nataka nimuache mume wangu hakuna sehemu nimeomba ushauri wa kumuacha Mr au kuolewa na X...
I only shared my life xperience na jinsi nnavyoumia na kujutia maamuzi nliyofanya na narudia tena namuheshimu sana mume wangu.
Humu tunatafuta kurelease stress na chakula ya ubongo.
Wengine nashukuru kwa ushauri wa kujenga na kubomoa

Nisome kwa makini tumezungumza kwa kusema maybe
na wewe hukuwa mhusika mkuu
tumezungumzia generally ....
wewe waweza kuwa na lengo lako lingine tu
labda kutafuta ushauri au ku release some stress

ndo maana umeona tunasema maybe ...who knows...
 
Haha.. Ambia Soseono kwamba baba mkwe wake (Haemosou) yuko mzima wa afya namuonaga anapiga tizi kule mbagala chini kulee.. Anabuy time arudi vitani... Haha.
Soseono Ameenda Kusini Huko Ameanzisha Nchi Yake Ya Baekje Sasa Ni Mbali Itabidi Nitume Njiwa Apelekee Yeye Salam Zamu..
 
Mwambie mumeo aende wilaya ya handeni mkoa wa tanga.kuna mti unaitwa mnkambi au ufyambo.akitafuna mizizi ya miti hiyo,rungu lake litasimama masaa 24.nadhani hapo atakushughulikia mpaka kiherehere kikutoke.
 
Hayo ni malipo ya uchaguzi wako, ulipenda pesa na gari ukadhani hivyo vitakuletea furaha hadi ukamkimbia umpendae.

Pasco huwa anakumbusha sana THE LAW OF KARMA
 
Reginald mengi ana miaka 70+ na wife walie zaa nae ni miaka 30+ lakini wapo ktk katika ndoa. Am sure mzee amnyosoi daily. Its all where you mindset is. If u love more dick than other stuff then it will bother you
 
Mfano mwengine kuna jirani yetu ni 30 yrs younger kuliko mumewe. Na mumewe ana diabetes lakini wako kwenye ndoa. Sema yeye mama huyo ni mtu mwenye dini sana. Sidhani kama angemwaacha mumewe kisa ana diabetes. Watoto wanahitaji malezi ya baba na mama. Acha kuendekeza mtombano focus in developing yourself. you are almost 30 yrs old. Lol
 
Mwambie mumeo akununulie sex-toy
Kama jamaa anakupa kila unachotaka fata huo ushauri hapo akununulie sex toy msaidiane nayo.. Usithubutu kumuacha mumeo ukaenda kwa x wako unaweza ukaharibu kila kitu u never know huyo x wako aliumia kiasi gani ulipoolewa ukamuacha na hujui ni kitu gani kipo moyon mwake kwa sasa may be anachotaka ni kukufanyia tu revange wote tunajua mpz yanavyoumiza moyo pale unaposalitiwa na mtu uliyempenda kwa dhat na wengi wa waliosalitiwa hua wanaombaga sana waliowasaliti wajutie uamuz wao na kuomba kurudiana tena ili walipize kisasi so usije ukalogwa ukamrudia huyo x wako anaweza akakusaliti na kukuacha ili na wewe upate yale maumivu aliyopata au anaweza akakunyanyasa so usidanganyike kwamba hajaoa kwa sabab yako miaka 3 ni michache sana kuthibitisha hilo labda hajaamua tu kuoa... Na kingine ushakua mama wa watoto wawili.. Think about yo children pia.. Usijekujikuta unawaacha wanalelewa na mama wa kambo au uwapeleke kwa baba wa kambo wakaishia kunyanyasika na kukosa maisha bora au ubaweza kukosa kwa wanaume wote ukaishia kuwalea peke ako.. So nakushauri tulia na mumeo na ulee watoto wako.. Achana na huyo x anaweza akaharibu maisha yako yote
 
Nisome kwa makini tumezungumza kwa kusema maybe
na wewe hukuwa mhusika mkuu
tumezungumzia generally ....
wewe waweza kuwa na lengo lako lingine tu
labda kutafuta ushauri au ku release some stress

ndo maana umeona tunasema maybe ...who knows...
Mkuu The Boss tatizo la huyu mwanamke chanzo chake ni ngono kabla ya ndoa, endapo asingekuwa na mahusiano ya awali na wanaume wake wa mwanzo hususani huyo jamaa anayemtaka asingejua tofauti yoyote kwenye tendo. Watu wanavuna walichopanda. Awe mvumilivu tu, hakuna namna maana kila kitu kina gharama yake.
 
kabla ya kuolewa..pesa ilikua mbele dudu badae.
bada ya kuolewa..dudu limekua mbele pesa badae
 
Nimekua msomaji tu lakin acha leo nitue huu mzigo..nimeona mwenzangu wishes to turn back the hand of time mi natamani nife
Simply bcoz AM NOT HAPPY ktk ndoa yngu na sababu ni kuolewa na mtu ambae sikumpenda sababu tu yule tuliependana hayuko vizuri financially
Kwanza nikiri tu bfo kuolewa nlikua mtu wa mambo mengi saanaa..I dd it ol travelled sehemu kibao ndio maana pia nkapewa hilo jina dramaqueen
Nimeolewa km miaka 3imepita nna watoto 2..mume wangu ananipenda sana anatujali mm na watoto mnooo hakuna nnachotaka asinipe gari ananibadilishia aftr evry 6mnths ni mtu mzima kidogo kwangu,namuheshimu SANA nadhan hilo ndio linamfanya azidi kunipenda..ule ujinga kabla cjaolewa nliacha hata watu wanaonijua wanaona kabisa nimebadilika
Tatizo jamani Mr hajawahi kwenda zaidi ya dk 5 na hajawahi kurudia round ya pili kwa miaka yote 3..yaani akipanda dk 5 kamwaga ana sukar kwahyo hawez kurudia mzunguko wa pili labda baada ya wik au 3wiks..
Naumia jamani nateseka,najuta..boyfriend tuliyependana sana hadi leo hajaoa,anasema kama hakunioa mm hataoa maishani kwan ananipenda..financially bado hayuko vizur ila ni mtafutaji...tunakaa mikoa tofauti so kukumbushia sio kivile mara nying tunachat tu kwa hisia..boyfriend ananishauri niombe talaka kanisamehe turudiane..mume wangu namuonea huruma kwasababu ni mtaratibu mnooo ananipenda ananijali zaidi ya nguvu za kiume sababu ya sukari ambayo tumeshahangaika sana kutibu.
..najuta wanawake wenzangu I hv ol th money a wanted but AM NOT HAPPY kuweni makini msitake tu kuolewa
Am 29 Mr is 48 nimejitahid kufupisha
Msinitukane jamani
Huyo boy friend wako wa zamani nae akiugua sukari na nguvu zikipungua utarudi tena kwa mme wako wa zamani embu kaa na mmeo umsaidie jinsi ya kumrudisha mumeo katika hali yake ya zamani sio una rukaruka tuu na kukimbia majukumu yako kama mke...hayo magonjwa yanasumbua wanaume wengi kwa sasa kwaio tatua tatizo sio ukimbie tatizo kwani hata huyo boy friend wako wa zamani husikute sahivi nayeye hata dakika moja hafikishi!
 
Back
Top Bottom