Naweza kufa kwa hii tabia yangu ya kutozungumza, nisaidieni

Miaka 29 lakn bado hujitambui, unaendeshwa na uchi wako inamaana akili yako imeshindwa kufikiria na kung'ambua badala yake uchi ndio unakufanyia maamuzi.

Umezaa watoto wawili hivi unafikir huyo kinda wako atakuwa tayar kuwalea hao wanao? Huyo anakutaman kwakuwa amekuona waluwalu na pia hana uwezo wa kutafuta mwanamke na kumpa huduma zete hvyo anakutaka ww kwakuwa anajua unachuna kwa mzee.

Nakuambia achika uje uone uchungu na shida za dunia hapo ndio utakuja kujua kuwa maisha ni zaidi ya kugegedana. Ipo siku utakosa hata hela ya kununulia pedi huku unatoa harufu na hutafurahia gegedo la huyo kida wako hapo ndio majuto atakuja kuwa mjukuu wako
This means kamwe usiolewe na mwanaume asiye na pesa?(usije nuka kwa kukosa hela ya pedi )
Nilikuwa natafuta comment yako kuhusu mada hii maana najua mada za hivi zinavyokuchefuaga.
 
Jaman pole sana, sema kwanza upo mkoa gani,

Mini nitakufanyia home service delivery kila baada ya wiki moja. Nitakuwa nakuletea bible tatu
 
Mnaependana hamkuoana kwasababu financially hayupo vizuri, mme wako financially yupo vizuri ila bado unapata tabu MAPENZI YANAHITAJI NINI?
Hapo ndio ujue kuwa chini ya hili jua no one is perfect, huko kwingine unapewa mgegedo heavy ila maisha magumu tena usishangae hata na kipigo ukawa unakipata.....mmeo anakupenda kama usemavyo basi kubali mapungufu yake pole
Kabla hajawa mme alikua ndio sponsor? :p:p
 
Drama queen tanua akili yako usiwe mjinga, sio kwamba nakutukana ila nakuona akili yako haijitambui kuwa ww n nan,umetoka wapi, upo wapi na unaenda wapi. Tambua kuwa maisha ni zaidi ya kuvuana vyupi lakn naona akili yako imejikita zaidi kwenye kusuguliwa tu.

Ujue kuwa mwanaume huwa anakuwa na upendo na hisia kali kwa mwanamke pindi muwapo mbalimbali lakn pindi mtakapooana kuna kuzoeana kimapenzi ile hamu au upendo hupungua kwa kias flan. Hamtakuwa na ashki kama mlizonazo sasa hapo ndio atakapoanza kukuona mzigo na atajiona ameoa mwanamke aliyekongoroka..

Najua hujaijua vzr akili ya wakiume na wanaume. Lakn ngoja nisiongee sana yawezekana Mungu ameiona akili yako ilivyo uji sasa anataka kukupa funzo ambalo litakufanya uwe mwanamke badala ya kuwa msichana.

Unaona kila siku wenzako humu wanaomba ushauri dhidi ya waume zao juu ya michepuko,kukimbia majuku,kutelekezwa,n.k.

Vijana wengi kulingana na ugumu wa maisha huwa hawajitambui wanakimbia majukumu, huyo kinda wako anataka kukupotezea uelekeo. Ww endelea na ujinga huo shaur yako
 
This means kamwe usiolewe na mwanaume asiye na pesa?(usije nuka kwa kukosa hela ya pedi )
Nilikuwa natafuta comment yako kuhusu mada hii maana najua mada za hivi zinavyokuchefuaga.
hahahaa mkuu pesa ndio kila kitu hasa kwa maisha haya.
Siku hizi kila kitu pesa sasa ukijivunia govi unafikir mwanamke atakula na kuvaa govi??
Umepotea sana skuoni ngona nije chemba tuongee kidogo
 
Labda nikwambie tu boyfriend kanizd 4yrs cjawahi kumpa hata 100 na haniombagi na hata akija mkoa nliopo ataweka hadi mafuta kwny gari..hana hela khvyo lakn ni mtu anayejito kwa kidogo tangu zamani
Ila ndio najuta nliona akinioa ntachelewa kuuona utajiri
Ungecoment kwa lugha nzuri ungeeleweka Mkuu..asante lakin
Ulivosema financially hayupo vizuri nikajua hadi anavaa kiatu kilichoisha soli
 
#EvelynSalt asante kwa ushauri mzuri.no one is perfect
Mr hakuwa sponsor alinikuta nna kazi tyr nna vijihela kiduchu
#Mgirik nimekuelewa sana..asante
 
pole dada bt usimuache mumeo hujui mungu amekupangia nn mpka kuku kutanisha nye huyo anye jifanya kukwambia uombe talaka baadae atakukana kma pilato usisubutu mpendwa vumilia huku ukimuomba mungu ipo siku utafurahi.
 
Naona hili pepo la wadada kusaliti au kutaka kusaliti ndoa limesimamia kucha; Leo tu mada 3.

1. Mmoja anamtamani kichaa,
2. Mwingine amebeba mimba ya nje ya ndoa,
3. Na huyu anataka kumwacha mumewe kwa sababu ya ugonjwa.

Wadada wengine mliobaki, tubuni na kuwaombea hawa wenzenu! Nimesema haya kwa dhati kabisa...!
 
Pole mdada. Tatizo naloliona hapa ni kuwa moyo wako wote bado uko kwa ex wako na uliolewa ukadhani with time utampenda huyo mumeo lakini wapi...moyo umegoma.

Na sidhani pia kuwa tatizo ni kutoridhishwa kimapenzi (sex). Wewe shida yako bado unampenda sana ex. Uko emotionally attached to him....which is terrible.
Na si ajabu hata mumeo angepona kabisa hicho kisukari na kuperform kama trekta bado usingeridhika.
 
Duh pole sana, wagonjwa wa kisukari ni kweli wanakuwa na hilo tatizo hasa hamu kupungua..... Huyo ni wako kumuacha ni kumkatili kwa kweli, endelea kutafuta solution
Sometimes money is not everthing in life......
 
Kwani kufikishwa kileleni ni mpaka jamaa aingize sehemu zake huko kwako kwa zaidi ya dk 5?

Mbona kuna namna nyingi ambazo anaweza kufanya na ukafika bila ya yeye kukuingilia.

Ongea na mume wako, usiogope atakavyo kuchukulia japo kuwa muangalifu hakikisha unafikisha ujumbe in a way which he won't feel bad or offended.
 
Back
Top Bottom