Naweza kufa kwa hii tabia yangu ya kutozungumza, nisaidieni

Drama queen

Senior Member
Apr 22, 2014
157
288
Nimekua msomaji tu lakini acha leo nitue huu mzigo, nimeona mwenzangu wishes to turn back the hand of time mi natamani nife.Simply kwasababu sina furaha katika ndoa yangu na sababu ni kuolewa na mtu ambae sikumpenda sababu tu yule tuliependana hayuko vizuri financially.

Kwanza nikiri tu kabla ya kuolewa nilikua mtu wa mambo mengi sana I dd it ol travelled sehemu kibao ndio maana pia nikapewa hilo jina dramaqueen. Nimeolewa kama miaka 3 imepita nina watoto 2 mume wangu ananipenda sana anatujali mimi na watoto mno hakuna ninachotaka asinipe gari ananibadilishia after every 6nmonths ni mtu mzima kidogo kwangu, binafsi namheshimu sana nadhani hilo ndio linamfanya azidi kunipenda ule ujinga kabla sijaolewa niliacha hata watu wanaonijua wanaona kabisa nimebadilika.

Tatizo jamani Mr hajawahi kwenda zaidi ya dk 5 na hajawahi kurudia round ya pili kwa miaka yote 3 yaani akipanda dk 5 kamwaga ana sukari kwahiyo hawezi kurudia mzunguko wa pili labda baada ya wiki au wiki 3.

Naumia jamani nateseka, najuta boyfriend tuliyependana sana hadi leo hajaoa, anasema kama hakunioa mimi hataoa maishani kwani ananipenda, financially bado hayuko vizuri ila ni mtafutaji tunakaa mikoa tofauti so kukumbushia sio kivile mara nyingi tunachat tu kwa hisia boyfriend ananishauri niombe talaka kanisamehe turudiane.

Mume wangu namuonea huruma kwasababu ni mtaratibu mno ananipenda ananijali zaidi ya nguvu za kiume sababu ya sukari ambayo tumeshahangaika sana kutibu najuta wanawake wenzangu I have all the money a wanted but AM NOT HAPPY kuweni makini msitake tu kuolewa.Am 29 Mr is 48 nimejitahidi kufupisha.

Msinitukane jamani
 
wewe naona unataka utumiwe pm, uitwe ugongwe ukashindwa kusema direct
usijali nimeshakusaidia kusema..

unataka u swap anayekupa ngono ya kutosha kwa anayekupa fedha za kutosha?
sikushauri, asikudanganye mtu fedha ndio muhimu kuliko ngono
 
#Born Be wild niendelee tu kulea @ths age jamani..maisha yangu yot yatakua hv? Sijawah kumsaliti na mwanaume mwingine zaid ya huyo X na huwa naumia sana baada ya hapo
I cnt tek any of ths anymo
 
kwahyo mchizi anakupa mikito ya uhakika sema ndo kakosa sabuni ya roho, dah acha nami nizisake *****...
 
Nimekua msomaji tu lakin acha leo nitue huu mzigo..nimeona mwenzangu wishes to turn back the hand of time mi natamani nife
Simply bcoz AM NOT HAPPY ktk ndoa yngu na sababu ni kuolewa na mtu ambae sikumpenda sababu tu yule tuliependana hayuko vizuri financially
Kwanza nikiri tu bfo kuolewa nlikua mtu wa mambo mengi saanaa..I dd it ol travelled sehemu kibao ndio maana pia nkapewa hilo jina dramaqueen
Nimeolewa km miaka 3imepita nna watoto 2..mume wangu ananipenda sana anatujali mm na watoto mnooo hakuna nnachotaka asinipe gari ananibadilishia aftr evry 6mnths ni mtu mzima kidogo kwangu,namuheshimu SANA nadhan hilo ndio linamfanya azidi kunipenda..ule ujinga kabla cjaolewa nliacha hata watu wanaonijua wanaona kabisa nimebadilika
Tatizo jamani Mr hajawahi kwenda zaidi ya dk 5 na hajawahi kurudia round ya pili kwa miaka yote 3..yaani akipanda dk 5 kamwaga ana sukar kwahyo hawez kurudia mzunguko wa pili labda baada ya wik au 3wiks..
Naumia jamani nateseka,najuta..boyfriend tuliyependana sana hadi leo hajaoa,anasema kama hakunioa mm hataoa maishani kwan ananipenda..financially bado hayuko vizur ila ni mtafutaji...tunakaa mikoa tofauti so kukumbushia sio kivile mara nying tunachat tu kwa hisia..boyfriend ananishauri niombe talaka kanisamehe turudiane..mume wangu namuonea huruma kwasababu ni mtaratibu mnooo ananipenda ananijali zaidi ya nguvu za kiume sababu ya sukari ambayo tumeshahangaika sana kutibu.
..najuta wanawake wenzangu I hv ol th money a wanted but AM NOT HAPPY kuweni makini msitake tu kuolewa
Am 29 Mr is 48 nimejitahid kufupisha
Msinitukane jamani
Ntarud badae, hats mi Nina jipu
 
acha utoto wewe tulia na mumeo kuna nyimbo Dube aliimba You never know what you have until you loose it. Ushapata watoto wako una shida gan? kuna wenzio wana stress za maisha hata huko kutombana hawatamani
 
Duh pole sana dada huo ni mtihani kwako mi cna cha kukuchaur hapo zaidi ya kukusikitikia ila vumilia tu unaweza kuondoka ikawa taabu wiki moja huyo mmeo mungu kamchukua utafanyaje mlee tu mwenzio hivyo unavyo pata shukur kubwa ni kwamba kama mwenzia ni dhaifu anza kujiandaa ww mwenyewe kisha na yy na kama kunauwezekano hakikisha umeshusha mzigo wa kwanza hewani then unaanza tena mzunguko wa pili dakika za mwisho ndio mzee anaweka dushelele lake utaridhika tu mama
 
Usilolijua ni usiku wa giza.sijakosa wanaume mtaani.nlichotaka ni kutoa huu msongo wa mawazo ambapo cjawah kunwambia yeyote zaid ya X
Its a free country anywy comment chochote unachotaka since it pleases u
samahani bibie, kweli inatokea wengi
 
Back
Top Bottom