nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,273
- 3,750
tutasikia mengi mwaka huu, mpaka maharage utasema uliuza
Kabla sijenda kuchimba madini nilianzia kule
tutasikia mengi mwaka huu, mpaka maharage utasema uliuza
ndo akili yako ipoishia?
Usimwambie wifi yako halafu usisahau kuutegesha ule mlango nisipate shida kuufungua ili wifi yako asisikie
hiyo message ilienda kwa nitonye sio kwako jamani
Msamehe bure, huenda hiyo ndo maana pekee ya neno 'kupenda' aijuayo.
Yako imeishia wapi?
ni hilo tu mkuu. najua utakuwa na ratiba ngumu lakini naomba uipe kipaumbele. ntashukuru sana.
Usijali mkuu K nimekupata hamna shaka.
yeuwiii pyaaa unasemaaaa?nakuhakikishia ndoa huna wewe. Utalala kwenye misumari
Makuzi nayo huchangia.hes nat worth talkin about
ila mpunguze ziara za kwenye makoroboi subiri siku yalipuke
Msamehe bure, huenda hiyo ndo maana pekee ya neno 'kupenda' aijuayo.
Nimeshakuona unataka kuharibu hii ndoa hujui kama leo nitachelewa kutoka kazini sitaki nimsumbue wifi yako embu nitakuletea icecream sawa
Makuzi nayo huchangia.
Makuzi nayo huchangia.
Kausha wewe!! acha kujipendekeza. We unayejua hizo maana nyingi embu ziseme ......
I do agree, thanx kwa ushauri.
well i will try,coz ni kweli niko tight! Na shemeji yako ananikeep busy pia
we ch*pi acha umbea.
we ch*pi acha umbea.