Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,159
- Thread starter
- #81
wish you all the best.
thank u dear,u too stay blessed
wish you all the best.
we ch*pi acha umbea.
kwingine ni kujiendekeza tu
u are warmly welcome my dear
Tunajua wewe ni mmiliki wa maisha ila punguza hasira mkuu
kujiendekeza na nini? wanawake bhana!
I will be coming every now and then in case of any difficulties for the sake of good advice.
i will be so honoured,anytime!cheers,
Tunajua wewe ni mmiliki wa maisha ila punguza hasira mkuu
Kweli Mwanza is great nilidhan umeshasinzia kumbe bado umo jukwaani!
hamna mkuu si hasira mbona kawaida 2!! wao ki2 kidogo wanakifanya biig deeeal!!waache hawaju! i will take what is mine at any tym.
kwa akili alizo nazo hata uwezo wa kumiliki bajaji hana
bado nipo,shemeji yako ananikeep busy.
Via masaburi.
Hakupi hata kupumzika! Anatumia nini?
bado nipo,shemeji yako ananikeep busy.
Shemeji!! nani huyo kakuchukua dunga embe ww!!
Shemeji!! nani huyo kakuchukua dunga embe ww!!
ndio nimepumzika hapa nimekuja sebleni kunywa maji.
Mkuu nilikuwa nadhani wewe ni mstaarabu kumbe zero kabisa kama unastress kalale basi au sio