Nawapenda wote

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,158
Wanajf,nawapenda sana.
Mmekuwa zaidi ya ndugu kwangu!Hata nikiwa na hasira na stress nikiingia humu najisikia faraja sana
Kuwepo nanyi nimepata mafundisho na changamoto nyingi.
Nawashukuruni wote na Mungu awabariki.
 
Wanajf,nawapenda sana.
Mmekuwa zaidi ya ndugu kwangu!Hata nikiwa na hasira na stress nikiingia humu najisikia faraja sana
Kuwepo nanyi nimepata mafundisho na changamoto nyingi.
Nawashukuruni wote na Mungu awabariki.

Haya, kalale sasa.
Naona funda la ziada litakuumbua...
 
Umeshatoka Mwanza? Hebu soma ile thread yako "Ndani ya Rock City" kuna ujumbe nimekuachia kule jana.
 
tunakupenda pia. Mungu aendelee kukubariki na kukuongoza.
 
Mkuu habari za rocky city hasa mitaa ya pale makoroboi, mitimirefu, igoma, na kwingineko?
 
Hata na siye twakupenda vipi sato wanapatikana huko au kuna mapanki tu
 
We binti unatupenda wote hata sisi vibabu vikongwe? Hebu come this way kwa ukaguzi na kugewa dawa ya usingizi....

babu wewe ni noma,mpaka dawa za usingizi unazo? Napenda sana vikongwe kama wewe
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom