ooh owkay karibu,unaweza ukanikuta huku
Utakua huko kwa muda gani?
ooh owkay karibu,unaweza ukanikuta huku
Biashara gani tena bibie?
Ulikua ukipita mchana au usiku?
Utakua huko kwa muda gani?
Tatizo shughuli zangu zilikuwa zinaisha mida ya usiku halafu ile ilikuwa njia kwa hiyo sikuwa na namna nyingine
Kimapenzi?!!!!Wanajf,nawapenda sana.
shughuli gani usiku wa manane yatakushinda mwanaume lol
hiyo inayofanyika makoroboi
Kimapenzi?!!!!
ooh owkay karibu,unaweza ukanikuta huku
Nilikuwa na kazi ya kupatro maeneo ya town ndio maana
Aaa Kabakabana!
Ok, noted for futher investigation.
wee jitetee tu, utalala nje nakwambia
usije ukafanya kosa. ukirudi naomba uniletee sangara walio banikwa. jitahidi sana mkuu. utakuwa umefanya jambo la maana sana.
hiyo inayofanyika makoroboi
wee jitetee tu, utalala nje nakwambia
Mkuu, naona kama umeanza kujitetea!? BTW mi nimekuuliza kwa nia njema tu.
kosa lipi tena?usihofu sema kingine
mkuu nande pale saa hizi upige picha tuweke kwenye jukwaa la kikubwa.
ndo akili yako ipoishia?