Happy birthady

Fabian Vitus

JF-Expert Member
Jul 18, 2022
4,667
5,716
Kwanza kabisa nashukuru Mungu kwa kuendelea kunipa zawadi hii ya uhai maana Sina cha kumlipa zaid ya maombi na Sala kwake🙏🙏
✍️Kama Uzi unavyojieleza kama WWE ni mmoja wapo umezaliwa tarehe kama hii Mwezi kama huu Mwaka kila mtu anajua wake naomba tujipigie makofi Maana Mungu Ameweza kutufikisha vyema japo kua kuna wengine ambao tunge Shea nao pamoja lakini aliamua kuwa penda zaidi naamini watapumzika salama 😭

Moja kwa moja kwenye mada binafsi hii tarehe inapofika nakua na majonzi sana ktk moyo wangu maana hii tarehe ndio moja ilikua siku muhimu kwangu lkn ndio moja ya siku nilimpoteza mzazi(day) kwa vitu vya kijinga ilimradi tu kufanya furaha yngu iweze kuchukua nafasi ktk moyo wangu sasa je ni wangapi mnapitia changamoto kama nayoipitia mimi naomba kushea nanyi thread 🧵 kwa pamoja,

NAWAOMBEA MAREHEMU WOTE WAPUMZIKE KWA AMANI ,MWANGA WA MILELE UKAWAANGAZIE ZAIDI EEEHH BWANA!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom