CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,863
- 687
Just let it be will ya......?
Ooookey mam!
Just let it be will ya......?
EMT, sijui kwa nini umeulza hilo swali, sijawah kuwa na mahusiano na mwanaume wa kichaga so sijui wakoje, bt wanaume karibu wote wanafanana tabia.Hapo kwenye red hata wachaga?
EMT, sijui kwa nini umeulza hilo swali, sijawah kuwa na mahusiano na mwanaume wa kichaga so sijui wakoje, bt wanaume karibu wote wanafanana tabia.
Hahahaha! Pole ndg.Nilidhani wewe ni Sweetbaby. Kumbe ni Sweetlady. Nimechanganyanya madesa. Samahani.
Pole sana.inaelekea yameanza siku nyingi. Kama utakumbuka nilikutumia PM kukuuliza mbona umeadimika hivyo? Si ajabu ndio ulikuwa tayari katika wakati mgumu. Pole sana DA
Na wewe unataka kuchapwa leo? Naona hujachapwa siku nyingi wewe. Haya nenda kakate fimbo ya kukuchapia halafu uniletee hapa. Umesikia?
you are too emotional!.
Ooookey mam!
Pungunza hasira baby, hayo ni mambo ya kawaida tuu. Unajua kabatin vikombe vinagongan,itakuwaje sisi binadamu ambao tumelelewa katika mazingira tofaut,then tukaonana na kuwa wapenz tatizo linakuja kwenye kuunga malez ya pande zote alaf kiwe kitu kimoja. Kama mungu alivyosema mtakuwa kitu kimoja. So chamsingi mrudishie mungu maisha yako.
Daaah
Kweli umekufa umeoza
Good bwoii!
Hebu nibip kwa PM
umeonaee? umemwona?
Naomba usichakachue hasira bado zipo zipo....