Nawachukia baadhi ya wanaume kuanzia leo

EMT, sijui kwa nini umeulza hilo swali, sijawah kuwa na mahusiano na mwanaume wa kichaga so sijui wakoje, bt wanaume karibu wote wanafanana tabia.

Nilidhani wewe ni Sweetbaby. Kumbe ni Sweetlady. Nimechanganyanya madesa. Samahani.
 
Pungunza hasira baby, hayo ni mambo ya kawaida tuu. Unajua kabatin vikombe vinagongan,itakuwaje sisi binadamu ambao tumelelewa katika mazingira tofaut,then tukaonana na kuwa wapenz tatizo linakuja kwenye kuunga malez ya pande zote alaf kiwe kitu kimoja. Kama mungu alivyosema mtakuwa kitu kimoja. So chamsingi mrudishie mungu maisha yako.
 
Pungunza hasira baby, hayo ni mambo ya kawaida tuu. Unajua kabatin vikombe vinagongan,itakuwaje sisi binadamu ambao tumelelewa katika mazingira tofaut,then tukaonana na kuwa wapenz tatizo linakuja kwenye kuunga malez ya pande zote alaf kiwe kitu kimoja. Kama mungu alivyosema mtakuwa kitu kimoja. So chamsingi mrudishie mungu maisha yako.

Thanx my dearest
 
sweetlady;pole swthat, wanaume ndivyo walivyo mwaya, hawabebeki, hawapendeki, hawana shukrani n.k. Tafuta mahal nenda kapumzishe akil, utapata sukar bure

Maneno ya mtu aliyeumizwa hayo. Inaonekana ni wanawake tu ndo wanaumizwa kwa mtazamo wako wakati kuna wanaume hapa wanalalamika kila siku hapa jamvini. Usipobadili mtazamo wako kwa wanaume utaendelea kuumia kila siku maana hutokuwa na upendo hata kwa yule atakayeonyesha kupenda.

Pole lakini, ndo maisha katika dunia ya mapenzi. Kuna walio na furaha katika mahusiano, Kuna wale wanaoona maisha yao ya mahusiano kama jehanamu. Hata walio na raha kuna changamoto zake maana kukoseana kupo pia. Jambo la msingi ni kutatua tofauti zenu na kusonga mbele.

Back to the topic; Pole dada DA, ni hasira za mda zitaisha japo kwa sasa unaona km hukusitahili kutendewa hivyo ulivyotendwa kwa mtu uliyemwamini na kumpenda.

Jipe moyo- ni mawimbi katika maisha yatatulia na utasonga mbele.
 
umeonaee? umemwona?

Na yeye alivyokufa juu yako ndo balaa
Anakutetea popote pale
Hata usipokuwepo jamvini bado anakusifia tu
Utasikia "Ohh Sweet K wangu, Mume wangu K"
Majina kibaooo mazuri
Kweli ya mwanamke umpate anaekupenda kweli kweli (natamani ingekuwa kweli mko hivi)
Infact, leo sijamuona hapa
Ngoja nimchek kwa . . .
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom