Nawachukia baadhi ya wanaume kuanzia leo

Kwa nini hanitoshelezi?
Kwa nini ananibania kutembelea marafiki?
Kwa nini ananikataza kuwa mmbea?
Kwa nini ananikataza kuwa na mashoga?
Kwa nini ........
Kwa nini .......
 
Kwa nini hanitoshelezi?
Kwa nini ananibania kutembelea marafiki?
Kwa nini ananikataza kuwa mmbea?
Kwa nini ananikataza kuwa na mashoga?
Kwa nini ........
Kwa nini .......


I reserve my teeth . . :shut-mouth:
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Dena Amsi! Pole sana najua hakuna kitu kibaya kama mtu kukufanyia kama ulivyosema hapo juu

BAK naomba upload wimbo wa
RASCAL FLATTS-What hurts the most

Nipo kwenye simu hapa siwezi upload

Dedication kwa dada DA
 
Kwanini hamna huruma?
Kwanini hamthamini wanawake?
Kwanini hamna heshima na adabu?
Kwanini Hamthamini michango yetu kwenye familia??
Kwanini Mnamadharau?
Kwanini hamjali maumivu msababishayo kwa mkeo?
Kwanini hamjali hisia tulizonazo??
Kwanini mawasiliano mwanamke tu ndo aanze??
KWanini hamjali msaada mnaopewa??

NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA MILELE SIWAPENDI


JF Ingeruhusu matusi nadhani hasira yangu ingeishia hapa leo.............ukoje wewe mwanaume upendweje?? Usaidiweje?? Ujaliweje?

Ngoja nika............oohh gooooshi nilale tu
Mtu asiniulize nini kimenikuta but nimeumizwa vya kutosha today nasema kilichonisibu

A Little Impatience can spoil great plan!!!!!!!!!!!!!!! LOL
 
  • Thanks
Reactions: CPU
Dena umefanya busara kuja zishushia hasira zako humu.
chukua ile glass kubwa kuliko zote. Jaza barafu na Kunywa maji baridi,...

Ukishamaliza (maji), haya uliyo-type hapa yaandike kwenye karatasi...
kisha ichane na u-flush chooni.

Chukua karatasi nyingine,...andika yote unayoamini unapaswa kufanyiwa.

- ungependa awe na huruma zipi
- ungependa akuthamini kivipi
- ungependa aonyeshe heshima na adabu zipi
- authamini vipi mchango wako kwenye familia
- ajiepushe vipi na madharau kwako
- aepuke vipi maumivu akusababishayo
- kivipi ajali hisia ulizonazo
- mawasiliano gani anayopaswa yeye pia ayaanzishe
- ajali vipi msaada unaompa

Ukishamaliza kuandika nijulishe nikwambie ufanye nini...
swahiba, kusema kweli leo nimepata shoko ya mwaka from DA... i couldnt believe my eyes

but when i looked at her signature, i had a laugh

contradicting indeed!!!
 
swahiba, kusema kweli leo nimepata shoko ya mwaka from DA... i couldnt believe my eyes

but when i looked at her signature, i had a laugh

contradicting indeed!!!

...ndio maana 'sipiyuu' anasema "I reserve my teeth!" nini?....LOL.
 
I am still not sure if someone stole DA password or something...........

How could one have 6 questions to a person who either hurts or insignificant.......... where is the signs reading and all the "careful" vetting process/quality?

inauma sana uchungu
 
Pole sana dadangu DA,

Ndo ukubwa huo......Leo sisemi sana, ila ujue kuna watu wanahaha sana kuonja utamu wa hizo karaha mnazopata kwenye ndoa.

Mtoto akishalia hasira huisha...pumzika tu jioni lazima kitaeleweka kwani lazima watoto wacheze rede!!

Mzee DC
 
Back
Top Bottom