Nawachukia baadhi ya wanaume kuanzia leo

Kwanini hamna huruma?
Kwanini hamthamini wanawake?
Kwanini hamna heshima na adabu?
Kwanini Hamthamini michango yetu kwenye familia??
Kwanini Mnamadharau?
Kwanini hamjali maumivu msababishayo kwa mkeo?
Kwanini hamjali hisia tulizonazo??
Kwanini mawasiliano mwanamke tu ndo aanze??
KWanini hamjali msaada mnaopewa??

NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA MILELE SIWAPENDI


JF Ingeruhusu matusi nadhani hasira yangu ingeishia hapa leo.............ukoje wewe mwanaume upendweje?? Usaidiweje?? Ujaliweje?

Ngoja nika............oohh gooooshi nilale tu
Mtu asiniulize nini kimenikuta but nimeumizwa vya kutosha today nasema kilichonisibu
Duh....! Pole mamy....! Inaonekana mzee kagawa pipi kwa wengine....! lakini si ilisemekana kizuri kula na mwenzio?
 
Ndiyo, kushirikiana ni jambo jema sana mama....! Na hizo hasira zinaletwa na uchoyo.....! So, punguza uchoyo...! Kama wewe huwezi kutoa, kwanini uone ni vibaya kwa wenye kutoa wakitoa?

Kuna vya kutokuwa mchoyo lakini ile kitu inamesa mwensake hapana kupeana bana
 
Kuna vya kutokuwa mchoyo lakini ile kitu inamesa mwensake hapana kupeana bana

Kumbe...! Tusipeane kile kinachomesa mwensake....! Lakini kinachomeswa si tupeane tu? Kwa sababu kinameswa, then kinatemwa....! Hahahahaha...
 
Back
Top Bottom