Ally Abdulrahman
Senior Member
- Mar 28, 2015
- 119
- 212
Habari wakuu.
Nauza Tank langu KIBOKO LITA ELFU 3. Bado jipya tangu ninunue Lina miezi 7 nahofia kuibiwa maana mlinzi WA site hatulii kazini nahofia hasara mara mbili Bora nipate hasara moja ya kuuza bei chee.
Nauza 400k Tu maongezi yapo karibuni. Niko Dar KIGAMBONI Kama unaishi Dar na unahitaji nichek tuyajenge
0683508256View attachment 2874326