CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,863
- 686
Usiniambie wewe ndo Sipiyu......!!!Kweli yote ni ubatili mtupu!!
Unaanzaje kumfananisha mumeo na Kajuni??
Usiniambie wewe ndo Sipiyu......!!!Kweli yote ni ubatili mtupu!!
We ngoja ukute mnachukuana.....adhabu yake hutaipenda!Mmmh
Jamani waifu haka kamzaha na wifiyo kasikuzingue, si unajua haka ka-pm kangu nilikafunga tangu nilivyokuvisha ile pete ya bati pale kanisa la majaribio
Si kajibu kama vile ni wewe nilaogopa usikute nna mume mwenye magamba!!Unaanzaje kumfananisha mumeo na Kajuni??
Usiniambie wewe ndo Sipiyu......!!!Kweli yote ni ubatili mtupu!!
Aiseee!
We DENA wewe wewe wewe!!!

Aaah si tumeshaongea chumbani usiseme sana
We ngoja ukute mnachukuana.....adhabu yake hutaipenda!
Tupo pamoja Chapaa ntaakikisha kila mwana JF anashiriki kikamilifu! Please kwa wale mlokuwa na mawazo tafadhali chagueni wenu na mniache na DENA wangu!
Jamani, humwamini wifiyo kipenzi ambaye umekua nae??

We DENA wewe wewe wewe!!!

nakushangaa tena nakunukuu 'UTAMALIZA BUCHA ZOTE LAKINI NYAMA NI ILE ILE(ZOTE ZINATOA DAMU TENA NYEKUNDU)

leo hii yamekuwa hayo haya kesho usije na kilio humu ndani ooh nimetendwa naombeni ushauri nimemfumania karudi usiku .......

kila la kheri NAOMBA MSINISAHAU KAMATI YA VINYWAJI shem nimesha muomba nimekumbushia na kwako

Baba mchungaji mtu inajivua magamba....karibu tena nyumbani!!

Heee inamaana umenitosa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Nilijua tu atakuja...nitakutetea

Wooote mmesema humu habari ya uchumba kwa DA ila jamani Muhimbili pale MOI hakuna tena spea ya viungo vya bandia kwakuwa huyu ana mume wake tena anamiliki bunduki kubwa kama iliyomuua Osama juzi uko Pakistan! kama anabisha aseme hapa ili ni attach picha za harusi yake pale kanisa la kilimani mbulu wakati alipoolewa!
Baba mchungaji mtu inajivua magamba....karibu tena nyumbani!!

Hahah utanitetea au utanichongea???