Natoa posa!

Jamani wadau nimepanga kutoa posa hivi karibuni kwa binti machachari hapa jamvini na kwa jina ni DENA AMSI. Nawakaribisha woteeee tusherekee natumaini hii itakuwa safari yangu ya mwisho wa kuhangaika! Lini na ni wapi just stay tuned!
duh bahati gani jamani!!!!
 
jamani umenishindwa mie nisiyevaa kufuli je utamuwezaje yule Dena Amsi anayevaa kufuli, skin tight, bukta, kaptula na baibui juu?
Wewe ndiye umenena ukweli, nahisi unamfahamu vyema Dena,

Hata simba anapakatwa we vipi? ni maelewano tuuu!!!

Jipe moyo lakini utasikia puuuuuuu, huna wa kukusaidia.

<br />
<br />
Aliye na pingamizi aseme sasa ama la anyamaze milele
Hakuna ila hueleweki wewe,

<br />
<br />
Jamani mbona hivo
Naona unamuingiza kumi na nane, Kajuni labda awe anataka kujifurahisha nafsi yake vinginevyo ni...... DA atamalizia.
 
Wewe ndiye umenena ukweli, nahisi unamfahamu vyema Dena,

Jipe moyo lakini utasikia puuuuuuu, huna wa kukusaidia.

Hakuna ila hueleweki wewe,

Naona unamuingiza kumi na nane, Kajuni labda awe anataka kujifurahisha nafsi yake vinginevyo ni...... DA atamalizia.

Mwanga mwingine huyu...............................................
 
Huyu Kajuni hajui kwamba DA hatongozeki kwa sredi

CPU jamani sie tumeisha ongea chumbani na sasa tumeamua kuweka mambo hadharani! au mnataka tufanye kimya kimya?
 
Jamani wadau nimepanga kutoa posa hivi karibuni kwa binti machachari hapa jamvini na kwa jina ni DENA AMSI. Nawakaribisha woteeee tusherekee natumaini hii itakuwa safari yangu ya mwisho wa kuhangaika! Lini na ni wapi just stay tuned!
Ngoja uje chezea mingumi ya pua, hujui mwenzio keshawahiwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom