Natoa posa!

Jamani wadau nimepanga kutoa posa hivi karibuni kwa binti machachari hapa jamvini na kwa jina ni DENA AMSI. Nawakaribisha woteeee tusherekee natumaini hii itakuwa safari yangu ya mwisho wa kuhangaika! Lini na ni wapi just stay tuned!

jamani umenishindwa mie nisiyevaa kufuli je utamuwezaje yule Dena Amsi anayevaa kufuli, skin tight, bukta, kaptula na baibui juu?
 
Kaka nakutakia kila la kheri kwente utoaji wa posa itakapo anza mishakato ya harusi tafadhali usinisahau kamati ya VINYWAJI pls.

Tupo pamoja Chapaa ntaakikisha kila mwana JF anashiriki kikamilifu! Please kwa wale mlokuwa na mawazo tafadhali chagueni wenu na mniache na DENA wangu!
 
jamani umenishindwa mie nisiyevaa kufuli je utamuwezaje yule Dena Amsi anayevaa kufuli, skin tight, bukta, kaptula na baibui juu?

Hata simba anapakatwa we vipi? ni maelewano tuuu!!!
 
jamani umenishindwa mie nisiyevaa kufuli je utamuwezaje yule Dena Amsi anayevaa kufuli, skin tight, bukta, kaptula na baibui juu?

Duh...al qaeda?...kajuni naona watu wameanza kutoa pingamizi mapema
.kumbe ulishachumbia kwa Nazjaz?
 
jamani umenishindwa mie nisiyevaa kufuli je utamuwezaje yule Dena Amsi anayevaa kufuli, skin tight, bukta, kaptula na baibui juu?

Daaah
Kweli soda inafunguliwa na opena tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom