Natamani kujua waliompa kura Rais Magufuli wanajisikiaje sasa

Ndiyo kuna kasoro za hapa na pale zimeanza kujitokeza lakini kwa vyovyote vile ni bora kuliko ingekuwa vinginevyo. Waliompa kura walijua fika sio malaika ni binadamu kama sisi. Picha kamili ndani ya mwaka mmoja hadi miwili.
Tafsiri iko katika matukio ya kupatwa kwa jua, tetemeko la ardhi na ajali kubwakubwa lukuki kila uchao! Na mbado, mbado sana!
 
Usilolijua ni usiku wa giza. Mimi naamini kuna waliompigia kura Magufuli wakijua watapata neema na maisha yao yatakua rahisi kama ilivyokua mwanzoni.

Natamani kupata maoni yao na kujua maisha wanayoishi sasa hivi. Poleni kwa mliojiaminisha goodlife inaweza kuwepo bila kuhangaika

Good day
Tunamshukuru sana Mungu kwa kutupatia Kiongozi aliyesubiriwa kwa miaka 50. Wenye hali ngumu ni waliokuwa wanapiga "deals". Wengine Maisha yako vile vile! Safi sana!
 
Nasikitika kwa kutompigia kara magu lakini nafarijika kuwa waliomchagua wamemchagua mtu sahihi Na Kwa Waikati sahihi
 
Sijawahi kujuta hata siku moja namkubali Magufuli tangu akiwa waziri wa wizara mbalimbali na kwenye kampeni nilikuwa msitari wa mbele kuhakikisha anaingia Magogoni
 
Usilolijua ni usiku wa giza. Mimi naamini kuna waliompigia kura Magufuli wakijua watapata neema na maisha yao yatakua rahisi kama ilivyokua mwanzoni.

Natamani kupata maoni yao na kujua maisha wanayoishi sasa hivi. Poleni kwa mliojiaminisha goodlife inaweza kuwepo bila kuhangaika

Good day

HILI DODOSO PELEKA KWENYE FAMILIA YA MSOGA, MAKAMBA NA POLICCM.

Ukiwauliza Watanzania kwa ujumla ni kuwatonesha vidonda kwa sababu hakuna asiyejua nini kilikua.
 
Kuinyoosha hii nchi si kazi ndogo, kila mtu anamaoni yake na njia zake namna ya kuinyoosha lakini kazi aliokuanao raisi ni ngumu. Ameanza vizuri na kwa kasi nzuri ingawa kuna vimakosa madogo dogo kwa hiyo hilo ni ubinadamu.
Juu ya maisha kua mazuri au mabaya ni mapema sana kuelezea ingawa hata yeye mwanzoni alisema MTAUMIA SANA LAKINI MWISHOE ITALETA NEEMA. kwa hiyo maisha hayatunguliwi kwenye mti kama maembe? Nina uhakika baada ya miaka 3 ndio angalau tutakuja kuona mtunda kidogo.
Niko hapa Sweden na wao walipitia maisha kagumu kama ya kiafrika. Walifanya kazi kwa bidii, wakawa waaminifu na kila mtu akawa mstari wa mbele kuilinda na kuikuza nchi. Na sisi pia tunatakiwa tuige huo mfano.
 
CDM ndiyo iliyompitisha kwa kauli zao za mkimsimamisha fisadi Edo, tunashinda asubuhi tuu, wakasababisha Edo akatwe juu kwa juu.
 
Usilolijua ni usiku wa giza. Mimi naamini kuna waliompigia kura Magufuli wakijua watapata neema na maisha yao yatakua rahisi kama ilivyokua mwanzoni.

Natamani kupata maoni yao na kujua maisha wanayoishi sasa hivi. Poleni kwa mliojiaminisha goodlife inaweza kuwepo bila kuhangaika

Good day
Tunafurahia sana kwani sisi tunaelewa maendeleo endelevu. Mwanzo utakuwa mgugu lakini after 2 years mambo yatakuwa bomba sana. Hivyo we are very happy!
 
Mimi binafsi najisikia furaha sana, niliwaamini chadema, ila baada ya gia kubadiulishiwa hewani, nikamchagua tingatinga Magufuli. Sijawai kujuta na sitojuta.
Wale mlioshabikia ukawa mnajisikiaje sasa
mkuu umenisemea asante sana. NINAFURAHA SANA WACHA MAGU AFANYE KAZI
 
Mtaani kwetu bar tano maduka sita,saloon za kike na kiume tatu zimefungwa ndani ya miezi sita iliyopita
Nusu zilikuwa zinamilikiwa na viongozi wa CCM
 
Tunajisikia vizuri sana yani full shangwe jpm ni kila kitu mtumishi wa watu.
 
Back
Top Bottom