Natamani kujua waliompa kura Rais Magufuli wanajisikiaje sasa

BINAFSI NINGEPENDA JPM AWE RAIS WA MAISHA WA TANZANIA! "Who's the cape fit let him wear it"(R.NESTA MARLEY)
 
Usilolijua ni usiku wa giza. Mimi naamini kuna waliompigia kura Magufuli wakijua watapata neema na maisha yao yatakua rahisi kama ilivyokua mwanzoni.

Natamani kupata maoni yao na kujua maisha wanayoishi sasa hivi. Poleni kwa mliojiaminisha goodlife inaweza kuwepo bila kuhangaika

Good day
Sijawahi kujuta, kura yangu ilienda sehemu salama, kama wewe ulizungusha mikono pole, huwezi kumkabidhi panya akulindie karanga! Lowasa hafai na hatafaa!
 
masikini ndo munaisoma number kwa ongezeko la kodi za mojakwamoja .........matajili wanazidi kuneemeka
 
Hiv huku kuisoma namba na hela kupotea si mwaka Jana tu yule mkwere alikua anasemwa kua uchumi lege lege sa mlitaka rais wa vip.....
Ugumu wa maisha ni cz tulizoea sana kupiga deal wa Tanzania ki ukwel
 
1474992488709.jpg
ni mwendo wa kula kwa jasho
 
Ni rais wa Tanzania
Utasomaje namba mimi sijikombi ila huu ni ukweli Magufuli ni kiongozi mzuri ila lazima sio kila kitu akifanya wananchi wapende maana hata yeye ni mwanadamu kuna vitu mtamfurahia mengine hamtamfurahia ata aje nani ni hivyo tu. ila mimi nampenda kwa mengii tu sioni kuna shida kama hutakiwa unampinga mf.wewe unasoma unamtegemea mzazi ila hujitahidi hela akikupa ya shule unahonga hadi ada unategemea mzazi atakufurahia akuambie mtoto wangu mpenzi hongera chukua ingine au anakuadhibu .
Watu walizoea mengi ambayo sasa ni full stop bado wataisoma namba tu mmpaka watanyooka eti.
Kabisa siku hizi watu hurudi nyumbani saa kumi anatulia kama kamwagiwa maji ya barafu.
Ambao hawajaoa wamelala au wapo watsupp.
Hoyee Magufuli wetu tunakupenda sanaa Wasiokupenda wasome namba wewe ni Raisi wetu wapende wasipende wasipotaka wanywe pombe wasahau wakalale au watulie tu walie kimoyomoyo.
Mpoooo.
 
Mimi binafsi najisikia furaha sana, niliwaamini chadema, ila baada ya gia kubadiulishiwa hewani, nikamchagua tingatinga Magufuli. Sijawai kujuta na sitojuta.
Wale mlioshabikia ukawa mnajisikiaje sasa

Nasadiq Maneno yako, kazi yake naionaaa, sijutiiii kupanga foleni kwa ajili ya kumpa kura yangu
 
Ni rais wa Tanzania
Utasomaje namba mimi sijikombi ila huu ni ukweli Magufuli ni kiongozi mzuri ila lazima sio kila kitu akifanya wananchi wapende maana hata yeye ni mwanadamu kuna vitu mtamfurahia mengine hamtamfurahia ata aje nani ni hivyo tu. ila mimi nampenda kwa mengii tu sioni kuna shida kama hutakiwa unampinga mf.wewe unasoma unamtegemea mzazi ila hujitahidi hela akikupa ya shule unahonga hadi ada unategemea mzazi atakufurahia akuambie mtoto wangu mpenzi hongera chukua ingine au anakuadhibu .
Watu walizoea mengi ambayo sasa ni full stop bado wataisoma namba tu mmpaka watanyooka eti.
Kabisa siku hizi watu hurudi nyumbani saa kumi anatulia kama kamwagiwa maji ya barafu.
Ambao hawajaoa wamelala au wapo watsupp.
Hoyee Magufuli wetu tunakupenda sanaa Wasiokupenda wasome namba wewe ni Raisi wetu wapende wasipende wasipotaka wanywe pombe wasahau wakalale au watulie tu walie kimoyomoyo.
Mpoooo.
Komesha hao wenye meno ya kutu kama kashata
 
Back
Top Bottom