Natamani kujua waliompa kura Rais Magufuli wanajisikiaje sasa

Jenseny

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
1,743
1,731
Usilolijua ni usiku wa giza. Mimi naamini kuna waliompigia kura Magufuli wakijua watapata neema na maisha yao yatakua rahisi kama ilivyokua mwanzoni.

Natamani kupata maoni yao na kujua maisha wanayoishi sasa hivi. Poleni kwa mliojiaminisha goodlife inaweza kuwepo bila kuhangaika

Good day
 
Mimi binafsi najisikia furaha sana, niliwaamini chadema, ila baada ya gia kubadiulishiwa hewani, nikamchagua tingatinga Magufuli. Sijawai kujuta na sitojuta.
Wale mlioshabikia ukawa mnajisikiaje sasa
 
Ndiyo kuna kasoro za hapa na pale zimeanza kujitokeza lakini kwa vyovyote vile ni bora kuliko ingekuwa vinginevyo. Waliompa kura walijua fika sio malaika ni binadamu kama sisi. Picha kamili ndani ya mwaka mmoja hadi miwili.
 
Mimi binafsi najisikia furaha sana, niliwaamini chadema, ila baada ya gia kubadiulishiwa hewani, nikamchagua tingatinga Magufuli. Sijawai kujuta na sitojuta.
Wale mlioshabikia ukawa mnajisikiaje sasa
Mambo ovyoo kabsaa... Cku hizi napata chin y kiwango. Ila ya kula na family napata... For me simfurahii hata kdg
 
Mambo ovyoo kabsaa... Cku hizi napata chin y kiwango. Ila ya kula na family napata... For me simfurahii hata kdg

Hiyo unapata ndio haki yako mkuu, ile juu ya kiwango ndio hizo tingatinga amezibania zinakwenda fanya huduma muhimu zaidi maeneo yenye uhitaji zaidi. Kwa iyo jikaze tu. Wengi tunamfurahia
 
mbari said:
Mambo ovyoo kabsaa... Cku hizi napata chin y kiwango. Ila ya kula na family napata... For me simfurahii hata kdg
Kama ulitegemea za haramu imekula kwako,
Hata usimfurahie humpunguzii lolote
Huyo ndiye Rais wetu
 
Kwani wewe ulimchagua Nani na mpaka sasa rais ni Nani ,tatizo watanzania tu wavivu Wa kufiriki
 
mtego wa panya bwana una raha yake, huingia waliomo na wasiokuemo. wao waljifanya ngo'mbe, kuku, mbuz na kondoo.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom