Dr Dre
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 2,573
- 2,623
Wana JF,
Mimi nimemaliza kidato cha nne Shule ya day nmefaulu vizuri nangojea post 2, ila ninao Ugonjwa wa kutokusoma bila kutumia simu yangu, nikishindwa kitu kidogo tu ninagoogle kiukweli simu imenisaidia sana, mara nyingi nilikuwa nasoma YouTube, hayo yote nilikuwa nafanya sababu nilikuwa day, sasa naenda boarding na nimepanga kwenda na simu, naombeni ushauri wenu kiukweli cjui ntaanzaje maisha ya kusoma bila simu.
Welcome my experts