Jana niliona uzi mmoja hapa jf ukiwa na namba ambazo wachangiaji walisema ni za Kikwete,nimeutafuta siuoni tena(natumia mobile ya mchina) namba hizo zilikuwa na 777....msaada jamani kuna jafisadi kadogo ambako nadhani baba Riz atakaweza tu!
We ongea na riz 1, aongee na mshua we...we.
tena bosi mwenyewe ni mwenye wadhifa wa kuteuliwa na rais...tuseme najitoa mhanga tu. Haiwezekani kabisa yaani mwaka wa tatu sasa huyu bosi kakaa tu....