Nataka kumlipua bosi wangu sasa hivi

Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
7,237
9,867
Jana niliona uzi mmoja hapa jf ukiwa na namba ambazo wachangiaji walisema ni za Kikwete,nimeutafuta siuoni tena(natumia mobile ya mchina) namba hizo zilikuwa na 777....msaada jamani kuna jafisadi kadogo ambako nadhani baba Riz atakaweza tu!
 
Bofya hii hapa mwanawane, +255 754 777775
 
Umekosa kazi ya kufanya? Kesi ya ngedere kula mahindi unaipeleka kwa nyani ndo awe hakimu? Fisadi unampelekea kesi ya fisadi mwenzie? Are u kidding me? Afadhali ungemlipulia hapa JF kuliko kuipeleka kwa JK.
 
tena bosi mwenyewe ni mwenye wadhifa wa kuteuliwa na rais...tuseme najitoa mhanga tu. Haiwezekani kabisa yaani mwaka wa tatu sasa huyu bosi kakaa tu....
 
Take care, kwa maajabu ya hii nchi yetu tegemea lolote. Hivi una hakika gani anayoyafanya hayapo kwenye majukumu yake ya kazi? Au umesahau tulivyoambiwa kuwa ni utaratibu wa kawaida kwa waziri kukusanya fedha za kuhonga wabunge kupitisha bajeti?

We shauri yako, tena mtu mwenyewe unasema ni wale 'wanaowekwa kwa mapenzi yake' na baraka za katiba yetu tukufu inayotambua wezi wasio na hatia! Haya we!
 
mlipue hapa na huko piga piga simu bila kuweka wazi identity yako
wataanzania tuache woga hata kwa jambo kama hili
mnadhulumiwa mnalia lia tu chuku hatua.ukombozihauji kwa woga.libya,tunisia wangekuwa waogoa wangefika walipo?
mm ntakuwa kimbele front tukianza kudai ukombozi
 
tena bosi mwenyewe ni mwenye wadhifa wa kuteuliwa na rais...tuseme najitoa mhanga tu. Haiwezekani kabisa yaani mwaka wa tatu sasa huyu bosi kakaa tu....

Ndebile? ni ndebile huyu huyu wa bodi ya mikopo???? ama??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom