Natafuta tenders za usafirishaji nina fuso imepaki

Mr kempanju

Member
May 24, 2018
43
146
Habari za asubuhi wakuu,

Penye wengi pana mengi na penye mengi kuna njia nyingi.

Naomba niokoeni ndugu yenu.

Nina fuso yenye uwezo wa kubeba tani 10.

Fuso ilikuwa nimepeleka kubeba mkaa mara kama 7 hivi jana nimeamua kutoipeleka tena huko sababu ya changamoto zake hazivumiliki, nimepasua tyri tatu kwa trip moja na kila trip lazma nizibe tyre

Mikaa ni mizoto maliasili walipa jana gunia moja lina kilo 137 na fuso ilikuwa inabeba guni 90+ so ilikuwa inabeba zaidi ya tani 12.

Gari inakaa mda mrefu porini na kufikia kupata hasara tu

Nimekuja kwenu ndugu zangu mnisaidie kunipa dili za usafirisha wa mizigo kupitia gari hii ili niishi

Natamani kupata kazi za kupeleka bidhaa mikoani, kutoa mizigo viwandani au kwenye store na kusambaza, kama kuna kampuni inahitaji Fuso kwa kazi zao nawakaribisha kwa mkataba,

Kwa mawasiliano ni Dm tafadhali.

20221007_110855.jpg
 
Kwa kazi hiyo unaweza kuiajiri gari Yako.
Mtaji hauzidi 600,000Tsh. Ukishindwa kujiajiri ,unapata mtu mmoja TU wakukupa mzigo Kila siku utapakia , ila gari inalaza pesa kidogo. 150,000tsh. Nasisitiza ,iwe nzima.
IMG_20221108_170525_236.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom