Please have a look at plots just after Braeburn International school , just after the Airport https://g.co/kgs/6vjz3B
kudos brother.. You sure know your stuff.yeah...
Wakuu, natafuta kiwanja cha kujenga Arusha eneo la Njiro au Moshono, kisipungue nusu eka, eneo linalofikika lenye huduma zote, offer mkononi ninayo 30m. kwa atakayekuwa nacho, kinahitajika haraka, na unatakiwa kuweka specification za kiwanja hizo zote hapa na uweke na picha na mazingira yalivyo. pia, kiwanja kiwe kina hati (kwani nitapita ardhi kuserch), kama una mke au mume, hakikisha wanandoa wote mnaridhia kuuza na wote mtaingia kwenye mkataba na transfer ya ardhi. thanks.

ANyumba ni Unfinished house iko Njiro Corona Block J,karibu na Chuo cha Veta na Atomic. Nyumba ipo kwenye kiwanja cha 25 x 25 Nyumba ni kubwa, ina vyumba vitatu, viwili ni master, ina study room na vingine. Hakuna hati ila kina offer number. Inauzwa mil 50 o.n.o./Maongezi yapo picha humu inashindikana maana natumia simu tuwasiliane kwa WhatsApp 0786262635Wakuu, natafuta kiwanja cha kujenga Arusha eneo la Njiro au Moshono, kisipungue nusu eka, eneo linalofikika lenye huduma zote, offer mkononi ninayo 30m. kwa atakayekuwa nacho, kinahitajika haraka, na unatakiwa kuweka specification za kiwanja hizo zote hapa na uweke na picha na mazingira yalivyo. pia, kiwanja kiwe kina hati (kwani nitapita ardhi kuserch), kama una mke au mume, hakikisha wanandoa wote mnaridhia kuuza na wote mtaingia kwenye mkataba na transfer ya ardhi. thanks.
I live in Dar, how can I see them sir! niifikiri utaweka kapicha pengine. thanks.[/QUO
Mkuu hiyo M 30 huwezi kupata kiwanja cha nusu heka Around Arusha mjini.ni sehemu ipi arusha ukijenga ni sehemu ya middle class, at least hakuna uswahili, kila mtu anajua yake? please watu wa arusha nisaidieni.
Ila sasa kama lengo lako ni kiwanja tu! Kwa pesa hiyo naweza kukupatia ekari mbili ni mahali ambapo kuna Maji na umeme na Barabara kubwa ya EA inayojengwa lakini pia Old Moshi Rd na Reli! Ni 17 km toka mjini karibu na USA, Tengeru na Mandela university kuko vyema kwa kweli mie mwenyewe nina Shamba hukoMkuu ndio maana nimekwambia tufanye mawasiliano kwa kutumia WhatsApp namba yangu ni 0786262635! Najaribu tena hapa kuweka picha kama nitafanikiwa, Bado inagoma kuweka picha