Natafuta plot Arusha Njiro au Moshono

Mkuu hii kama itakupendeza twende kazi. Nyumba ni Unfinished house iko Njiro Corona Block J,karibu na Chuo cha Veta na Atomic. Nyumba ipo kwenye kiwanja cha 25 x 25 Nyumba ni kubwa, ina vyumba vitatu, viwili ni master, ina study room na vingine. Hakuna hati ila kina offer number. Inauzwa mil 50 o.n.o./Maongezi yapoQUOTE="Hute, post: 24825519, member: 32499"]Wakuu, natafuta kiwanja cha kujenga Arusha eneo la Njiro au Moshono, kisipungue nusu eka, eneo linalofikika lenye huduma zote, offer mkononi ninayo 30m. kwa atakayekuwa nacho, kinahitajika haraka, na unatakiwa kuweka specification za kiwanja hizo zote hapa na uweke na picha na mazingira yalivyo. pia, kiwanja kiwe kina hati (kwani nitapita ardhi kuserch), kama una mke au mume, hakikisha wanandoa wote mnaridhia kuuza na wote mtaingia kwenye mkataba na transfer ya ardhi. thanks.[/QUOTE]
 
Nyumba ni Unfinished house iko Njiro Corona Block J,karibu na Chuo cha Veta na Atomic. Nyumba ipo kwenye kiwanja cha 25 x 25 Nyumba ni kubwa, ina vyumba vitatu, viwili ni master, ina study room na vingine. Hakuna hati ila kina offer number. Inauzwa mil 50 o.n.o./Maongezi yapo

Wakuu, natafuta kiwanja cha kujenga Arusha eneo la Njiro au Moshono, kisipungue nusu eka, eneo linalofikika lenye huduma zote, offer mkononi ninayo 30m. kwa atakayekuwa nacho, kinahitajika haraka, na unatakiwa kuweka specification za kiwanja hizo zote hapa na uweke na picha na mazingira yalivyo. pia, kiwanja kiwe kina hati (kwani nitapita ardhi kuserch), kama una mke au mume, hakikisha wanandoa wote mnaridhia kuuza na wote mtaingia kwenye mkataba na transfer ya ardhi. thanks.
 
Attachments

  • IMG-20171216-WA0005.jpg
    IMG-20171216-WA0005.jpg
    143.2 KB · Views: 58
Nashindwa kuweka picha zote, unaweza kuwasiliana nami kwa WhatsApp 0786262635 nikutumie picha nk!

Wakuu, natafuta kiwanja cha kujenga Arusha eneo la Njiro au Moshono, kisipungue nusu eka, eneo linalofikika lenye huduma zote, offer mkononi ninayo 30m. kwa atakayekuwa nacho, kinahitajika haraka, na unatakiwa kuweka specification za kiwanja hizo zote hapa na uweke na picha na mazingira yalivyo. pia, kiwanja kiwe kina hati (kwani nitapita ardhi kuserch), kama una mke au mume, hakikisha wanandoa wote mnaridhia kuuza na wote mtaingia kwenye mkataba na transfer ya ardhi. thanks.
 
Wakuu, natafuta kiwanja cha kujenga Arusha eneo la Njiro au Moshono, kisipungue nusu eka, eneo linalofikika lenye huduma zote, offer mkononi ninayo 30m. kwa atakayekuwa nacho, kinahitajika haraka, na unatakiwa kuweka specification za kiwanja hizo zote hapa na uweke na picha na mazingira yalivyo. pia, kiwanja kiwe kina hati (kwani nitapita ardhi kuserch), kama una mke au mume, hakikisha wanandoa wote mnaridhia kuuza na wote mtaingia kwenye mkataba na transfer ya ardhi. thanks.
ANyumba ni Unfinished house iko Njiro Corona Block J,karibu na Chuo cha Veta na Atomic. Nyumba ipo kwenye kiwanja cha 25 x 25 Nyumba ni kubwa, ina vyumba vitatu, viwili ni master, ina study room na vingine. Hakuna hati ila kina offer number. Inauzwa mil 50 o.n.o./Maongezi yapo picha humu inashindikana maana natumia simu tuwasiliane kwa WhatsApp 0786262635
 
Mkuu ndio maana nimekwambia tufanye mawasiliano kwa kutumia WhatsApp namba yangu ni 0786262635! Najaribu tena hapa kuweka picha kama nitafanikiwa, Bado inagoma kuweka picha
I live in Dar, how can I see them sir! niifikiri utaweka kapicha pengine. thanks.[/QUO
 
ni sehemu ipi arusha ukijenga ni sehemu ya middle class, at least hakuna uswahili, kila mtu anajua yake? please watu wa arusha nisaidieni.
Mkuu hiyo M 30 huwezi kupata kiwanja cha nusu heka Around Arusha mjini.

Halafu sikuhizi Njiro sio rahisi kupata kiwanja kikubwa na hata ukipata kule kuna shida kubwa ya maji. Kuna watu wanye uwezo ila wanategemea kukinga maji ya Mvua na wengine ni mpaka wachimbe chini.

Wakichimba ni bahati wasikute maji yenye magadi au chumvi nyingi.

Maeneo mazuri sana ya kununua viwanja kwa Arusha nahisi ni Moshono (kuna shida ya maji kiasi pia) , Tengeru, Usa, Maji ya Chai, Kikatiti, Muriet nako wanapeleka maji na umeme hivi sasa.

Ukiwa serious unikumbushe nikuconnect na madalali makini wa viwanja Arusha.
 
Mkuu ndio maana nimekwambia tufanye mawasiliano kwa kutumia WhatsApp namba yangu ni 0786262635! Najaribu tena hapa kuweka picha kama nitafanikiwa, Bado inagoma kuweka picha
Ila sasa kama lengo lako ni kiwanja tu! Kwa pesa hiyo naweza kukupatia ekari mbili ni mahali ambapo kuna Maji na umeme na Barabara kubwa ya EA inayojengwa lakini pia Old Moshi Rd na Reli! Ni 17 km toka mjini karibu na USA, Tengeru na Mandela university kuko vyema kwa kweli mie mwenyewe nina Shamba huko
 
Back
Top Bottom