Natafuta mwanaume wa kuzaa na ikiwezekana kuishi naye

Kwa jina la Bwana wetu yesu kristo rishukuliwe sababu nilikuwa na mpango wa kwenda Kenya kufuata Bibi kizee ila inabidii nibaki humu Tz sababu Kuna kina bibi vijana wanataka wanaume.
Kama vipi ni PM tuwasiliane.
 
Kwa nini unakua na wasiwasi wa kutukanwa kwani lipi baya ulofanya?, kutafuta mchizi wa kukupa mambo?. Sa mama tuliza mzuka mie nipo tayari, nipe mawasiliano then mida nitakusakanya, au vip?
 
dah kama zali vile. ngoja nikupm.
unaposema chanini mwenzako anasema ntakipata lini. naja dear.
 
Jamani nadhani dada yuko siriaz, ambaye yuko tayari am-pm, lakini dada ukishampata usisahau kutupatia mrejesho, maana wamepita wengine wengi kama wewe lakini mwisho wa siku hatuambiwi kapata au lah!
 
Niliwahi kuweka tangazo la kutafuta mke wa tatu, una qualify.
 
Jamani nawashukuru sana wana JF kwa comments zenu nzuri tu.
Nimepokea PM kama 5 hivi na namba za simu. Unfortunately JF imenirestrict ku-reply ama kutuma PM mpaka niwe nimepost at least posts 5. Na kwa kuwa mimi ndio nimejiunga leo bado sina posts za kutosha, maybe with time.
Kwa walionitumia namba zao, I will do my best to call them. Bahati mbaya siwezi kuweka ya kwangu hapa hadharani.

Asanteni sana na ofcourse, feedback lazima mtapata.

Usiku mwema nyote.

N
 
kwanza threat yako inautata kidogo UNATAFUTA MWANAUME WA KUZAA duhuuuu any way kila lenye heri mimi bado sijakuwa mgeni huko
 
Jamani nawashukuru sana wana JF kwa comments zenu nzuri tu.
Nimepokea PM kama 5 hivi na namba za simu. Unfortunately JF imenirestrict ku-reply ama kutuma PM mpaka niwe nimepost at least posts 5. Na kwa kuwa mimi ndio nimejiunga leo bado sina posts za kutosha, maybe with time.
Kwa walionitumia namba zao, I will do my best to call them. Bahati mbaya siwezi kuweka ya kwangu hapa hadharani.

Asanteni sana na ofcourse, feedback lazima mtapata.

Usiku mwema nyote.

N

Dada yangu kuna vitu najiuliza kwa faida ya wengine.

1.0 Kwa nini uliachika?

2.0 Mtoto huyo uliyezaa unaishi naye au yupo kwa baba yake?

3.0 Lengo ni kuolewa au kuzaa au vyote kwa pamoja?

4.0 Ungependelea huyo jamaa awe na vigezo vipi kwa maana ya dini, elimu, kazi/kipato n.k

Ushauri kama hukuwa guest wa muda mrefu wa kutosha ni bora ukawa makini na mahusiano ya kwenye mtandao.

Usiku mwema Nawai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom