Natafuta mwanaume wa kuzaa na ikiwezekana kuishi naye

Jamboni wana JF,
Mimi ni mwanamke wa miaka 37. Niliolewa na kwa sasa tumeachana na mume wangu. Nina mtoto mmoja wa umri wa miaka 5. Ninaishi Dar na nafanya kazi Dar.
Kiwango changu cha elimu ni chuo kikuu.

Nahitaji mwanaume wa miaka kati ya 38-48 ambaye tuko serious na mwenye kuhitaji mwanamke wa kuzaa ama kuishi naye. Naomba msinitukane- I am serious.

Asanteni sana

Nawai Joseph

Nami pia natafuta. Tafadhali tuwasiliane kama tu unakidhi vigezo:

Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.

Sifa zake:


  1. Awe na Umri usiopita miaka 40
  2. Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
  3. Awe na tabia njema na asiwe na tamaa
  4. Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
  5. Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
  6. Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
  7. Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana

Sifa zangu:


  1. Umri wangu miaka kati ya 45-50
  2. Elimu yangu: Shahada ya Uzamili
  3. Kazi: Nimeajiriwa na Kujiajiri
  4. Sina mke
  5. Nina watoto wawili

Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com

PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously
 
Wadada elimu inawaongopea .rudi kwenye maandiko "Mungu alipomuumba Adam na Eva hakuweka usawa .hata ungepata mwanaume kutoka mbinguni kama utataka kuwa sawa na mumeo kwasababu ya elimu yako basi hiyo ndoa haitadumu
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35, JE? Nipo Tayari, Niko Njombe, haule5@aol.com Tafadhali kama uko tayari basi tuwasiliane kwa hiyo E-mail. Ila sina elimu zaidi ya O-level.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom