Natafuta mwanaume wa kuzaa na ikiwezekana kuishi naye

kama unataka kuzaa nipe PO BOX yako mi nitakutumia kwenye post then utashughulika nayo mwenyewe...dunia ya siku hizi kupata watoto sio lazima mlale pamoja:happy:
 
kama unataka kuzaa nipe PO BOX yako mi nitakutumia kwenye post then utashughulika nayo mwenyewe...dunia ya siku hizi kupata watoto sio lazima mlale pamoja:happy:
Asante mtotowamjini, lakini wazo lako halinivutii kabisa
 
Sasa maswali yote hayo ya nini? We jitose tu kaka yangu!
Nashukuru ndugu yangu Losambo kwa ushauri wako.
Kweli nimestuka na kuamua kuwa makini zaidi.
Hizo details zote ulizoulizia am afraid siwezi kuziweka wazi humu JF, ila kwa wale walionicontact kwa preivate messages tayari tumeanza mchakato.

Wish me luck.
Nakutakia kazi njema
 
Nawai dada yng kua makini kupokea PM co ishu,kua makini mno mm nili2ma post w2 waka ni PM mpk wngn nikakutana fc2fc na cjaona faida zaidi ya ulaghai,tk cr ma d.

Thanks sana mtaftaji for coutioning me, kweli nimepokea PM kibao, lakini kwa kuwa bado mgeni kwenye maswala haya inabidi niwe makini kama ulivoshauri.
I take your advice seriously.

Kazi njema
 
Nami natafuta demu wa kuzaa nae mtoto mmoja wa kike kwani nina madume watatu naona ww unafaa
 
Wanaume wa sikuhizi mnaelekea kuwa maha..si, mwanamke ku-express feeling kwa mwnaume ni tatizo? Saa kutongozwa ni shida wakati nataka kwa nini nisitongoze??

Tuna haki ya ku express feeling wapendwa! lol
 
kwahiyo umeshamaliza kushortlist, mimi niache kukuPM? Maana uzi huu ndio nauona saa hii. Nilikuwa natafuta nafasi kama hii muda mrefu. Mimi shida yangu ni mtoto tu. Hayo mambo mengine tutajuana mbele kwa mbele

Chibidu,
Asante ila nishapata anaye ni interest, and we r on another level now.
Barikiwa mzee
 
vingezo hujatoa niltamani sana utoe vigezo ili kama mwanaume anavingezo hizo basi muoane. umri ndio kikwazo maana hapa sinaimani kama utazaa zaidi watoto 2 zaidi ya huyo ulie naye
 
Duh jamani, naomba atakayejitosa asichukue tu uamuzi wa kupoma UKIMWI na kuzaa ila afikirie zaidi matunza ya mtoto watakayemzaa. Kwakweli jamani watoto wanahitaji sana malezi mazuri kulikoni tunavyofikiria. Watu wote wa hatari dunianil utakuta mahali fulani walikosa upendo kutoka kwa wazazi au waliona ukatili ukifanyika wakingali wadogo. So huyo dada mzae nae na mkubaliane terms za kutunza mtoto na tafadhali sana msikimbilie kutengana na nguo zenu kabla hamjawekana sawa kuhusu terms za kumlea huyo mtoto na pili muangalie na mvuto pia je mnavutiana? Ha hahahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom