Mimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.
Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm
Profile yako inadai umazaliwa 1969,hiyo miaka 31 imetoka wapi au hujui hesabu?Mimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.
Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm
watu wadadisi ni noumaaa!Profile yako inadai umazaliwa 1969,hiyo miaka 31 imetoka wapi au hujui hesabu?
Hiyo ni profile tu mkuuProfile yako inadai umazaliwa 1969,hiyo miaka 31 imetoka wapi au hujui hesabu?
Mungu asimamie hitaji la moyo wako.Mimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.
Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm
Nimekuja pmNjoo pm
Hapo kwenye red umenitenga kweli kweliMimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.