Natafuta mume

Mimi ni msichana mwenye umri 31. Elimu Degree, nimeajiriwa serikalini, na ni mkristo.

Nahitaji mwanaume ambaye yupo tayari kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea.

Njoo pm.
Umeazaliwa 1969 , Leo unadai una miaka 31. Kuwa mkweli basi uni PM. Hata Mimi natafuta,47 si kitu mradi tukubaliane tujenge maisha
 
Mimi ni msichana mwenye umri 31. Elimu Degree, nimeajiriwa serikalini, na ni mkristo.

Nahitaji mwanaume ambaye yupo tayari kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea.

Njoo pm.
Mimi pia natafuta mke...... Kama upo tayar nitumie namba yako au email yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom