Natafuta mume

Mimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.

Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm
 
vigezo na masharti kuzingatiwa kama wanaochezesha kamali ila hakina unampata tu mwenye hivyo vigezo
 
Mimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.

Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm
Profile yako inadai umazaliwa 1969,hiyo miaka 31 imetoka wapi au hujui hesabu?
 
Punguza umri mi ni standadi 7 nilieferi nalima tu ming'oko njoo tulime kilimo ni uti wa mgongo wa tz njoo
 
Mimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.

Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm
Mungu asimamie hitaji la moyo wako.
Jaribu tu kua mvumilivu kwa majibu utakayo kutana nayo humu jf.
Jaribu kua mvumilivu tu
 
Mimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.

Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm
Hapo kwenye red umenitenga kweli kweli
 
Similar Discussions

12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom