Natafuta mume

wadada bna kuolewa nako kumekuwa ajira.muda woote unaringa ringa leo yamekufika shingoni nyie c ndio mnazile kauli cjui ww sio type yngu cjui huna hela mara andunje.mara mweusi daah leo hii hali tete

hivi huwa hamjui kuwa kuolewa ni bahati km kupata kazi TRA au TPA ya uhasibu bila kuwa na CPA.pia hamjui kuwa kuoa ni MAAMUZI!!

pole cna umri wa miaka 45 wengi wameoa labda uwe mchepuko au ukimpata ujue jamaa pengine alifiwa na mke wake.cha kufanya saiv tu nikusali na labda utegeshe tu mimba uzae

#kwa muumba hakuna kinachoshindikana.sali tuu utafanikiwa
 
Mimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.

Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm

MIAKA 31.MSICHANA AU MMAMA DUH
 
Mimi ni msichana Mweny umri 31.Elimu Degree, nimeajiriwa serikalin, na nimkristo.

Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita na kuendelea. Njoo pm
Give up not my dear ..... just keep on praying without ceasing ..... God always answers prayers
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom