Natafuta mchumba

Huyu mbona hajibu comments ktk sread yake au popote pale? Au alikuja JF purposely kwa ajili ya kutafuta mchumba?
 
Haya kwa wale wanaopenda kulelewa hapo fasta jamani mtoto kasema hata wasio na kazi kwake ni poa tu ana uwezo wa kumlea. Madenti vipi sis nao ruksa katika category zako? Manake watamiminika wengi na application hapa.

NB: Mchujo utapita kwa wakware

Mkuu kulelewa siyo dili, utanyanyasika sana. Katika hali ya kawaida is better mwanamme ukawa na kazi ya kukuingizia kipato kuliko kumtegemea mke kila kitu, heshima itapungua.
 
Hey wanajamii.
Mimi ni msichana mwenye Umri wa miaka 28.
Mhasibu katika shirika moja lisilo la kiserikali hapa Tanzania.
mshahara sio mkubwa sana lakini unakidhi mahitaji yangu.
ninaishi sinza Madukani.
Ninaona umri unazidi kuyoyoma lakini bado sijampata wangu wa maisha.
who ever is ready for a serious relationshi please PM me.
Repply to only seroius Guyz!

Wasfu:
1. awe Mkristu
2.asiwe mnywa pombe.
3. If employed or not I dont care!

Hii kwenye mambo ya mtandao tungeita 'phishing'. Jipelekeni jamaa wakashangilie.
 
Huyu mbona hajibu comments ktk sread yake au popote pale? Au alikuja JF purposely kwa ajili ya kutafuta mchumba?

Anajibu PM tu, jaribu huko. Details utakazotoa ni at your own risk.
 
Kutafuta mchumba ni dealbreaker katika potential mchumba, even if one is successfully linked, one can never be sure that one is linked merely because the other is looking or because there is a genuine connection between the two.

Kuna watu wako in love with the idea of being in love. Ogopa.
 
Hey wanajamii.
Mimi ni msichana mwenye Umri wa miaka 28.
Mhasibu katika shirika moja lisilo la kiserikali hapa Tanzania.
mshahara sio mkubwa sana lakini unakidhi mahitaji yangu.
ninaishi sinza Madukani.
Ninaona umri unazidi kuyoyoma lakini bado sijampata wangu wa maisha.
who ever is ready for a serious relationshi please PM me.
Repply to only seroius Guyz!

Wasfu:
1. awe Mkristu
2.asiwe mnywa pombe.
3. If employed or not I dont care!

Hongera Dorin;
Kwa kweli umeonesha ujasiri mkubwa sana ku post hiyo request yako hapa jamvini hasa ikizingatiwa kuwa watu wengine wanakufanyia dhihaka.

Mie naamini uko siriaz and i hope utapata the matching man kutoka humu KIUMENI-JF.

All the best.
 
Thats the way to go madam. kama ningekuwa sijafungwa na pingu za maisha ningeanza na kampeni hivi sasa.
 
dada Dorin muombe sana mungu akuongeza ktk hili jambo jema unalolitaka kwani yeye ndiye atakusaidia ukutane na aliyekutoa ubavuni mwake ili uifurahie hiyo ndoa unayoitafuta kwani bali yeye unaweza angukia pabaya mama ukajajuta,ndoa si lelemama.nakuombea mungu akupatie haja ya moyo wako.kila la heri.
 
daaah mjukuu wangu una maneno mujarab..hebu ni PM nikuambie kitu kuelekea jumapili ya tar 14 Febr...teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom