Natafuta mchumba

mhhh mimi
ungesema una hamu,unahitaji
ningejitokeza,but ndoa??????
ndoa is not a joke.
 
Nimepata applications nyingi. Actually among these applications I have one guy who is actually more than serious!! Asante kwa mwanzilishi wa JF.

Kazi kwako Dorin ila take care kwenye shortlisting...
 
kuna sabuni mpya zimetoka special kwa nyeto.
nadhani sikuhitaji dorin kwa muda nikimaliza shehena ya sopu hizi nitakurukia au vp?
 
Dear Dorin, tafadhali angalao uniweke kwenye second selection list, nipo ktk harakati za kuziweka sawa hizo sifa tatu ulizoweka.
 
Hey wanajamii.
Mimi ni msichana mwenye Umri wa miaka 28.
Mhasibu katika shirika moja lisilo la kiserikali hapa Tanzania.
mshahara sio mkubwa sana lakini unakidhi mahitaji yangu.
ninaishi sinza Madukani.
Ninaona umri unazidi kuyoyoma lakini bado sijampata wangu wa maisha.
who ever is ready for a serious relationshi please PM me.
Repply to only seroius Guyz!

Wasfu:
1. awe Mkristu
2.asiwe mnywa pombe.
3. If employed or not I dont care!

Yaani nilishaanza kutaka kutuma applications zangu kwenye PM, nikagundua hilo sharti nambari mbili linanibana! :) TBL lazima nilipe kodi aisee, kila la kheri dorin.... Tungefurahi kama tukipata mlishonyuma (feedback) ya ombi lako!
 
Bora umewahi bado kajua kanawaka. Ila inaonyesha enzi zako uliwapanga kwenye orodha, ukakataa mmoja hadi mwingine, kwa vigezo labda msomi lakini hana mali, au ana mali lakini hajasoma, au siyo handsome mi sijui.

Imefika miaka 28 sasa, na wote uliowakataa wameshaoa. Sasa wewe ni mjanja umeona kwa sababu ni saa kumi na moja jioni, giza haliko mbali.

Poa tu nafasi za pili zipo zipo, sisi wengine tunataka kama miaka 20 hivi ili tusomane kama miaka mitano hivi halafu ndo tuoane yaani binti akiwa na miaka 25, sasa wewe mpaka tusomane halafu tukubaliane si utakuwa ushaanza kupanga kustaafu.

I'm just kidding, napenda tu dada zangu wanapokuwa saa sita mchana kila mtu anageuza shingo kwako, kila mtu anataka kukupa lifti, wakumbuke na hili pia. Siku hizi wanaume waoaji hadimu sana. Labda ukimada.
 
it is good. contact with ne through marwajunior2005@yahoo.com for more details concerning your request
Duh! duh! duh!

Huyu jamaa katoa na Email kabisa, yaelekea yupo serious kinoma.

Doris, hata kama umeshawa-shortlist hao waume watarajiwa, mkumbuke na huyu, wala usiogopo kuwa ni MARWA (kwa kuangalia Email yake). Kwao kuchapana mangumi ndio mapenzi yenyewe, utazoea tu dada'angu.
 
Hey wanajamii.
Mimi ni msichana mwenye Umri wa miaka 28.
Mhasibu katika shirika moja lisilo la kiserikali hapa Tanzania.
mshahara sio mkubwa sana lakini unakidhi mahitaji yangu.
ninaishi sinza Madukani.
Ninaona umri unazidi kuyoyoma lakini bado sijampata wangu wa maisha.
who ever is ready for a serious relationshi please PM me.
Repply to only seroius Guyz!

Wasfu:
1. awe Mkristu
2.asiwe mnywa pombe.
3. If employed or not I dont care!

Je, uko tayari kueleza ukweli juu ya mada hii "Your sexual history", (if any); bila shaka utampata anayekufaa. Tafadhali, hii itaonesha jinsi utakavyokuwa mkweli, muwazi na mwaminifu kwenye ndoa hiyo:

  1. names and number of your past partners; things you loved from them, reasons for separations, time of staying with each, stages of partnerships, your current minds about them ....
  2. unsafe sex practices; such as oral sex, tiGO sex, business sex (prostitution), self sex (masturbation) ....
  3. what you did and not did with others; whether you ever killed, steal, going to night clubs, .....
  4. your viginity; how much are you vigin, ....
  5. abortion practices; number of abortions, reasons for each, how, outcomes, their fathers, .....
  6. childhood abuse; how much, by/to whom, how does it come, effects, ....
Taarifa hizi zitawasaidia wadau kufanya maamuzi
 
Ya nini ajibu hayo wakati applicants wamejaa pickup??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom