Natafuta mchumba

Je kama ana sifa zote ila aliwahi kuonjesha???? kwa nini hutaki aliyeonjeshwa,si ndo vizuri akufundishe au?yani vipofu wawili mkae?.......LOL
 
labda j2 awhi ibada pale kwa mama lwakatare

kwa vigezo vyake unadhani atapata!! Labda afanye booking kwa mama mwenye mtoto mchanga wa kike tena awe chini ya uangalizi wake mpaka afikie umri huo...lol
 
je kama ana sifa zote ila aliwahi kuonjesha???? Kwa nini hutaki aliyeonjeshwa,si ndo vizuri akufundishe au?yani vipofu wawili mkae?.......lol

hapo sasa! Mi ninge apply ila hapo tu,pamenikosesha ajira.
 
kwa vigezo vyake unadhani atapata!! Labda afanye booking kwa mama mwenye mtoto mchanga wa kike tena awe chini ya uangalizi wake mpaka afikie umri huo...lol

Thats ma girl,thats a very realistic advise.
 
Hivi baada ya miaka 30 mwanamke anakuwa mzee??? hii inaumiza,kumbe siku za ujana wangu zinaishia.LOL
 
Naamini mawazo yako ni potofu sana. Yaani unafikiri Walokole wote ndo bikra??? Kwa taarifa yako walokole walio wengi wanaokoka kwa sababu ya kujirudi baada ya kufanya madhambi...... KWA MAONI YANGU SIDHANI KAMA UTAPATA WENGI WANAKUWA WASHADINYWA.....KAMA KWELI UNA NIA NJEMA YA KUTAFUTA MCHUMBA, TOA KIPENGELE CHA ULOKOLE.......
 
5. Asiwe mzee sana ( age 18-30).

maskini smati.... hapo umewakosa akina Michelle!!
 
Naamini mawazo yako ni potofu sana. Yaani unafikiri Walokole wote ndo bikra??? Kwa taarifa yako walokole walio wengi wanaokoka kwa sababu ya kujirudi baada ya kufanya madhambi...... KWA MAONI YANGU SIDHANI KAMA UTAPATA WENGI WANAKUWA WASHADINYWA.....KAMA KWELI UNA NIA NJEMA YA KUTAFUTA MCHUMBA, TOA KIPENGELE CHA ULOKOLE.......

mie sioni kama amekosea!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom