Natafuta Mchumba/mume

Sasa wewe Fidel, siumepewa email address yake? Mbona na wewe unampa email address nyingine? Si uwasiliane naye moja kwa moja? Amesema yupo serious! Acha masiahara!

Tayari nimesha mtumia email jamani hapo ulikuwa msisitizo kama na yeye anaweza akanitumia.
Kwani mm sipo serious? na mm nipo serious tena kuliko yeye.
 
wifii huyo wifiii wifii huyoo wifiii....walisema haoi mbona anaoa walisema haoi mbona anaoa

Hahahahaha wenye wivu wajinyonge mm hapa BATA tu angekuwepo DJ Masa angeniwekea wimbo wa Pole Samaki polee
 
Binamu ckukatishi tamaa lakini ngoja vinjemba viingie humu wakute hilo tangazo alafu apate applications more than 100 from there tutajue where you stand.
 
TISS wanaendelea ku-update taarifa zao..:D

kweli mkuu, siku hizi inaonekana watu wamegeuza JF mahali pa ufanyia research za kipuuzi.

ni hivi punde tu nimesoma post yake hapa akichangia thread moja na anasema anafunga ndoa mwezi february! yaani mwezi huu!

sasa nini tena kimeusibu uchumba wake wa awali?

mpeni pole fidel 08, inaonekana anasarandia ile mbaa!

someni hapa chini ile post yake nimewawekea

"""""My dear, hii kitu imenikuna coz am speeking from my experience, huyo jamaa aachane nae haraka sana, yani akimbie mbio ni ngumu but inambidi isee acha kabisa hawa wabeba mabox ni soo, achilia mbali kuoa vizee pia inawezekana kampata mbongo mwenzie mwenye green card, we nakwambi hakuna wapenda mteremko kama hatu wa ulaya, mimi nilikuwa na wangu 7year can u imagine???!!!! Naapa kwa jina la mwenzi mungu hamuezi kuamini lakini ndo hivyo, alianza wazimu kama wa huyo wa marekani mmmh baadae nikasoma alama za nyakati, nikamu-email mwenyewe its over, na baada nikajua ukweli kuwa alikuwa na mtu huko na ndoa tayari, na me namshukuru mungu nina mchumba now na harusi ni feb. 2010""""
 
Kamanda wewe ni Great Thinker. Nakubali viwango vyako.
 
heeee.......ina maana wifi ni msanii kiasi hiki....
 
.........kula 5 mkubwa!.......!

Nimeirudia hapo kuonyesha vizuri ulikoichomoa...watu wasijekukubishia....!

Nkashilingi
user_online.gif

Nkashilingi has no status.
Junior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Tue Jul 2009
Posts: 7
Thanks: 0
Thanked 2 Times in 1 Post
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

icon1.gif
Re: Miezi miwili bila mawasiliano ameachwa?naomba ushauri
My dear, hii kitu imenikuna coz am speeking from my experience, huyo jamaa aachane nae haraka sana, yani akimbie mbio ni ngumu but inambidi isee acha kabisa hawa wabeba mabox ni soo, achilia mbali kuoa vizee pia inawezekana kampata mbongo mwenzie mwenye green card, we nakwambi hakuna wapenda mteremko kama hatu wa ulaya, mimi nilikuwa na wangu 7year can u imagine???!!!! Naapa kwa jina la mwenzi mungu hamuezi kuamini lakini ndo hivyo, alianza wazimu kama wa huyo wa marekani mmmh baadae nikasoma alama za nyakati, nikamu-email mwenyewe its over, na baada nikajua ukweli kuwa alikuwa na mtu huko na ndoa tayari, na me namshukuru mungu nina mchumba now na harusi ni feb. 2010
 
jamani kwani watu hawaachani, ndo hivyo mungu akupenda kwa hiyo no more ndoa, ila penye nia pana njia.
 
Ni kwamba watu wako kazini wanachimba members wa JF ni kina nani. Ukiingia mkenge imekula kwako. Shauri yako.
 
Hello wana jamii, sio masihara jamani hapa najua wote ni watu wazima na wenye akili timamu.

Wasifu wangu.
Jinsia-Kike
Umri-29
Elimu-ya chuo naamanisha graduate
Rangi-kahawa
umbo-No 8 mnene
Dini-Christian
pombe-naonja
kabila-chaga
Ni mwajiriwa kwenye sekta binafsi na mshahara wa kawaida, mambo mengine tutafahamishana kama kutakuwa na maswali zaidi,

wasifu ninaopendelea.
Jinsia-Mwanaume
jisia-30-45
Elimu-lazma awe ni graduate na kuendelea,
Dini-mkistu

Awe mpenda maendeleo, na pia awe ni mtu anaemjua mungu.

Ni hayo tu kwa maswali zaidi waweza kuni email glory.gregory@yahoo.com
naomba kuwasilisha.

"""""My dear, hii kitu imenikuna coz am speeking from my experience, huyo jamaa aachane nae haraka sana, yani akimbie mbio ni ngumu but inambidi isee acha kabisa hawa wabeba mabox ni soo, achilia mbali kuoa vizee pia inawezekana kampata mbongo mwenzie mwenye green card, we nakwambi hakuna wapenda mteremko kama hatu wa ulaya, mimi nilikuwa na wangu 7year can u imagine???!!!! Naapa kwa jina la mwenzi mungu hamuezi kuamini lakini ndo hivyo, alianza wazimu kama wa huyo wa marekani mmmh baadae nikasoma alama za nyakati, nikamu-email mwenyewe its over, na baada nikajua ukweli kuwa alikuwa na mtu huko na ndoa tayari, na me namshukuru mungu nina mchumba now na harusi ni feb. 2010""""

wee wifi wewe.....thibitisha maneno hayo hapo juu
 
Dah, i dont know what to think? kwa jinsi alivyokuwa anasisitiza seriousness kumbe hayuko serious? kweli sasa nimeamini Fidel una gundu!
 
Hahahahaha wenye wivu wajinyonge mm hapa BATA tu angekuwepo DJ Masa angeniwekea wimbo wa Pole Samaki polee

....mzee wa kudumisha mila.....huyu wewe humuwezi kabisa.....ni ''baunsa'' fulani hivi.....! hayuko ready kutetea relationship yake.....angalia hapa:

Nkashilingi
user_online.gif

Nkashilingi has no status.
Junior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Tue Jul 2009
Posts: 8
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

icon1.gif
Re: Girls Do You Agree!?
LOL!!! labda sio mimi, huo ni utumwa, i disagree ya yote, wacha ndoa ivunjike.
 
lakini i give her the benefit of doubt, labda kaachwa solemba tena , au kamfumania jamaa, au for any reason ndoa haifungwi tena? ama, ama, ama lo, ithink we need some clarification on this.
 
....mzee wa kudumisha mila.....huyu wewe humuwezi kabisa.....ni ''baunsa'' fulani hivi.....! hayuko ready kutetea relationship yake.....angalia hapa:

Nkashilingi
user_online.gif

Nkashilingi has no status.
Junior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Tue Jul 2009
Posts: 8
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

icon1.gif
Re: Girls Do You Agree!?
LOL!!! labda sio mimi, huo ni utumwa, i disagree ya yote, wacha ndoa ivunjike.

nimeikubali JF ni kiboko, wenyewe tulishamfurahia wifi kumbe wifi mwenyewe ni k******e.......big up NL
 
Dah, i dont know what to think? kwa jinsi alivyokuwa anasisitiza seriousness kumbe hayuko serious? kweli sasa nimeamini Fidel una gundu!

Hakuna jamani nimeingia kiundani zaidi hakupost hiyo kitu.
Endeleeni kumtambua kama wifi yenu hivi saizi nafanya mazungumzo chini ya kapeti.
 
jamani kwani watu hawaachani, ndo hivyo mungu akupenda kwa hiyo no more ndoa, ila penye nia pana njia.

ungekuwa muungwana, unheliweka wazi tokea mwanzo, sasa mpaka watu wakuchimbe ndio uibuke? tusingekuchimba ungenywea tuliiiiiiiiiiiiii!

kumbuka ndoa si itu cha kuchezea kiasi hiki. haya tuambie kidogo nini kilitokea hadi ikashindikana kufunga ndoa?

na tena umekata tamaa ya kupata mwingine hadi uje kumsaka hapa jammvini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom