Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
Sasa wewe Fidel, siumepewa email address yake? Mbona na wewe unampa email address nyingine? Si uwasiliane naye moja kwa moja? Amesema yupo serious! Acha masiahara!
Tayari nimesha mtumia email jamani hapo ulikuwa msisitizo kama na yeye anaweza akanitumia.
Kwani mm sipo serious? na mm nipo serious tena kuliko yeye.