Natafuta Mchumba/mume

Kuna rafiki yangu lakini hayupo hapa JF, je nikuunganishe naye au wewe unawazimia ma-Great thinkers tu? atakupataje? kama utataka awasiliane nawe niPM contacts zako.
all the best my dear
 
Dada acha hizo mambo za kutafuta humu ndani, ina maana wewe watu wote unaowajua hujaona wanafaa? Wewe utakuwa na matatizo. Siyo bure
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom