hayo ni matawi ya serikaliNatafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
Awe bikira
Umri: 22-28
Awe Muaminifu na mcha Mungu
Hajatoga masikio
Awe mweupe
Awe na Elimu inayozidi form 4
Awe mwalimu
Awe hapendi kuvaa suruali
Awe hapendi kuvaa mawigi
Awe tayari kuwa mke na mimi kuwa mume na sio mambo ya kuleta gender balance ndani ya nyumba
Awe tayari kuwa located
Awe tayari kufanya full body checkup kujua magonjwa yote aliyonayo ili tujipange na kujua aina ya Helath Insurance tutakayochukua baada ya kuoana
Awe anapenda watoto waisopungua 4
Awe anapenda kupika
Awe anapenda kufanya biashara
Awe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHD
Awe tayari kusafiri kibiashara
Hizo ndio sifa zenye kipaumbele zingine zitaangaliwa
Nashukuru sana na nimatumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe kama kuna right candidate
wewe mwenyewe bikira?
<br />Kwani lazima awe nayo...? kama hana hata za kichina zipo....!